Kasri la Kikeke: mahojiano na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, mwelekeo wa vyama vya siasa 2025

Mbowe asigeenda ktk hayo mahojiano, kaboronga kweli.. akidhani atayemuhoji ni boya kumbe kaingia 18
 
Hakuna cha kusikiliza, mwamba akae pembeni...inatosha sasa eboo!!.
Mbowe ameongea kwa uchungu na maumivu sana kuhusu Lissu kugombra.
Kumbe Mbowe muonge, kule kuombwa kumbe ni cinema, mwamba hataki kung'ooka kabisa
 
..ukimsikiliza Yale mahojiano utagundua kitu, mbowe alikariri uwenyekiti ni wake milele, nampongeza lissu kwa kubadili GIA angani
 
Hatujui hadi hapa plan ya Lissu ni ipi, sura ya Mbowe na sauti vimejaa sumu, Lissu akishinda ni Mungu aingilie kati na akishindwa atafukuzwa chama.
Kumbe Mbowe ni untouchable chamani
 
Back
Top Bottom