Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

hebu tuwe serious kidogo na mambo ya kitaifa, yaaani eti .... awe rais..... hiiiiiiii
 
Hakuna waziri mkuu aliyewahi kuulata urais.
Waziri mkuu ndiye kiboko ya serikali na kawaida hana ushawisi, yeye ni mtendaji tu.
Majaliwa kuupata urais siyo rahisi.
 
Wewe utakuwa na maslahi na hili pendekezo lako!

NB: HII NCHI HAIHITAJI KIRANJA MKALI, INAHITAJI MTU MWENYE MAONO SAHIHI!
 
Mkuu sawa
Ule ujanja ujanja ambao ulifanyika Baada ya simba wa yuda kulala milele kabla Mama hajaapishwa kuwa ndiye kama alishiriki hata KWA Mbali asahau hilo!!
 
Mkuu sawa
Ule ujanja ujanja ambao ulifanyika Baada ya simba wa yuda kulala milele kabla Mama hajaapishwa kuwa ndiye kama alishiriki hata KWA Mbali asahau hilo!!
Huwezi tuhumu moja kwa moja kwa vitu visivyo na ushahidi .
 
Hafai hata kuwa katibu kata
 
Huyo muongo muongoooooi!
 
Ingekuwa nchi za wenye kujielewa alipaswa kujiuzuru tangu wakati ule bila shinikizo sasa hivi ingekuwa ni historia!

Sema kwa nchi nyingine sababu ya ukondoo na kutojielewa basi inakuwa ilimradi!
 
[emoji26][emoji26][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Acha mambo wewe The choice was bashiru Kama hujui, and it was clear stated somewhere! Ila Mungu akafanya yake

 
Siasa hauko hivyo choice huwa inabadilika Muda muda wowote kama kwa Membe na JPM
 
Naona watanzania wote kwa Pamoja wamekubali majaliwa fiksi kibao hatufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…