Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025


Ulitaka akudanganye tena na JPM amekufa, Majaliwa ni presidential Material akimaliza mama muda wake ni mmoja kati ya watu watakaotufaa
 
Daaah huu sasa utani na mchezo wa hekaya!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 

Huo uongo umekuathuli nini wewe kama mtanzania sana sana aliwapunguzia machungu vipenzi vya Maghufuli
 
Reactions: RNA
Nakubaliana na hoja, PM majaliwa Ni mtu simati sana, namkubali sana, he has Presidential traits, Mungu amjalie siku moja iwe hivyo
 
Asome ripoti ya moto kariakoo na Ile ya polisi kuua na kuiba pesa kule mtwara na aombe radhi Kwa Ile kauli yake juu ya afya ya Magufuli kuwa yupo ofisini wakati alikuwa kwenye box la ice.
Hafai kuwa hata mjumbe wa mtaa Kwa kushindwa kuisimamia uchafuzi ule wa 2019 na 2020 ambao yeye ni zao la ufedhuli na uwendawazimu Ile!
Hana msaada Kwa rais aliyepo ni kama ana mgomo baridi hivi!
 
Sawa kila mtu ana mawazo yake .
 
Kuna namna inbidi kuangalia aisee
Naona timu kassim ipo kazini! Product ya Magu haiji kupewa ikulu ya nchi hii asilani! Mbona mna uchoro hivi enyi chawa? Nchi hii inahitaji rais kijana na siyo hiyo jamii ya wapaka piko! Ajenge kiwanda Cha piko Kwa matumizi yake itatosha!
 
Naona timu kassim ipo kazini! Product ya Magu haiji kupewa ikulu ya nchi hii asilani! Mbona mna uchoro hivi enyi chawa? Nchi hii inahitaji rais kijana na siyo hiyo jamii ya wapaka piko! Ajenge kiwanda Cha piko Kwa matumizi yake itatosha!
Puguza hasira mkuu
 
Sawa kila mtu ana mawazo yake .
Urais siyo vitumbua au maandazi ya hitma ambayo hugawiwa Kwa Kila aliyehudhuria! Urais haujaribiwi na kuwa PM Haina maana kuwa anatoshea kuwa rais! Hana sifa.
Mwambie atosheke na nafasi aliyonayo na muda wake ukiisha abaki nyumbani na wajukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…