Sawa mkuuUrais siyo vitumbua au maandazi ya hitma ambayo hugawiwa Kwa Kila aliyehudhuria! Urais haujaribiwi na kuwa PM Haina maana kuwa anatoshea kuwa rais! Hana sifa.
Mwambie atosheke na nafasi aliyonayo na muda wake ukiisha abaki nyumbani na wajukuu.
Na utuambie kwamba rais aliyemuacha madarakan mtu muongo analitakia nini taifa hili?Waziri mkuu muongo mno kuwahi kutokea, viwanda 4000 vya Magufuli kwanza, viko wapi. Kizazi cha hovyo acheni kuongozwa na njaa.
Hii takataka tupa kuleMajaliwa ni presidential Material akimaliza mama muda wake ni mmoja kati ya watu watakaotufaa
Mkuu wewe hujawahi pitiwa na kudanganya ?Na utuambie kwamba rais aliyemuacha madarakan mtu muongo analitakia nini taifa hili?
Km ni kosa la kibinadam basi msikatae kuwa PM anastahili kuwa rais. Hata haya matrilion tunayoambiwa hatujui yapo au la.Mkuu wewe hujawahi pitiwa na kudanganya ?
Atleast ni kiongozi mzuriKm ni kosa la kibinadam basi msikatae kuwa PM anastahili kuwa rais. Hata haya matrilion tunayoambiwa hatujui yapo au la.
Kwanini mkuuUkimtoa nyerere hakuna wazir mkuu atakaekua rais wa tanzania
Hata Nyerere ?Hakuna Waziri Mkuu Tanzania aliewahi kuwa Rais .
Kuwa na heshima basiRaisi wa wapaka Piko
Ni mwiko wa kamati inayochagua rais wa tanzania hii nch never kua na rais kutoka kabila kubwa kama wachaga wahaya na nk au kua na wazir mkuu atakaekuja kua rais huo ni mwiko haina sababu lakin iko hivyoKwanini mkuu
Ni mwiko wa kamati inayochagua rais wa tanzania hii nch never kua na rais kutoka kabila kubwa kama wachaga wahaya na nk au kua na wazir mkuu atakaekuja kua rais huo ni mwiko haina sababu lakin iko hivyo
Ukimtoa nyerere hakuna wazir mkuu atakaekua rais wa tanzania
Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo, mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Magufuli alikuwa anamuandaa Bashiru Ally Kakulwa kuwa Rais sio Majaliwa.
Majaliwa na Samia walikuwa kama vivuli tu. Kwa taarifa yako Makonda na Sabaya walikuwa na nguvu kuliko Majaliwa na Samia enzi za Magu.
Mkuu we ulitaka aseme nin kwa wakati ule hata huku kijijn kwetu wazee wakitutoka watu wanakaa kujadili kabla ya kutangaza bt japo kipnd hko fununu znakuwa kwa majiran na watu wa karibuTangia aliposema JpM anachapa kazi ilhari anajua yuko mortuary sina hamu naye tena!!