Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

Mpaka hapo pm anawalaza na viatu!
 
Kwa taarifa yako hivi sasa Kuna watendaji wana nguvu kuliko pm kwa sasa. Kwasabb magod father wao ni wazito mno..

Lkn sifa ya kiongozi siyo kuogopwa wala kutisha watu.

uongozi ni mamlaka,ukiona hata mwanao ukifoka hashtukia anacheka ushatiwa kidole tayari dear.
 
Ili twende sawa naomba clip Moja tuu ya Majaliwa chini ya Mwendazake akiibua Ufisadi,ukiipata nafunga acc jf na hapo ndio utaelewa PM anafanya Nini na wewe.umeandika Nini.
 
Kwa taarifa yako hivi sasa Kuna watendaji wana nguvu kuliko pm kwa sasa. Kwasabb magod father wao ni wazito mno..

Lkn sifa ya kiongozi siyo kuogopwa wala kutisha watu.
Pamoja na kwamba umeandika upuuzi Ila nakukumbusha tuu Makonda alikuwa na nguvu sio tuu kuliko PM Bali kuliko Spika na VP.

Kana kwamba haitoshi Wateule wa Jiwe wakiwemo Ma DED nk walikuwa wanamdharau huyo PM wako walau Sasa anaweza wang'oa ndio maana kawasimamisha kadhaa..

Mwisho mtaje mteule hata mmja unaedhani anaweza mvimbia PM maana nimekutajia waliokuwa wanamvimbia huyo PM wako enzi za Jiwe.
 
Ili twende sawa naomba clip Moja tuu ya Majaliwa chini ya Mwendazake akiibua Ufisadi,ukiipata nafunga acc jf na hapo ndio utaelewa PM anafanya Nini na wewe.umeandika Nini.

Haya funga sasa Account, enzi zile nakwambia hapakuwa na lelemama alikua anafukuza hapo hapo na hatua zingine juu
 
Toka huyu mzee aseme, "Jiwe yupo bukheri wa afya anaendelea na majukumu yake" wakati kauma shuka nilimuona boya sana.
 
Nakumbuka alipita morogoro akakuta kituo Cha afya milango mibovu akawa mkali kwelikweli ,kesho yake asubui watu wametumbuliwa jpm alikuwa ana masiala ,
 
Nilitaka uingie kwenye mtego,kumbe Mwendazake alikuwa analea ufisadi na alipokuwa anajigamba ilikuwa bortion kwa wajinga πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…