Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Alisafiria nyota..
Bi Mkubwa hana habari .. Naye wanampuuza tu
Bi Mkubwa hana habari .. Naye wanampuuza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka hapo pm anawalaza na viatu!Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri.
Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo.
Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata kidogo ndo maana watu wanaendelea kupiga tu.
Kasim Majaliwa wa Magufuli siyo wa Samia, Kasim Majaliwa wa Magufuli alikuwa naogopwa kama RADI.
Watendaji walikuwa hawalali siku mbili mfululizo kabla ya ujio wako walikesha wakiandaa makablasha na kuweka taarifa sawa.
Nikiwa simiyu mwaka 2016 mkurugenzi wa wilaya ya maswa Trasias Kagenzi alikufa Kwa presha siku moja kabla hujafika wilayani hapo.
Enzi hizo defender zilikuwa tayari kubeba watuhumiwa baada ya kikao mda huo hizo, Leo hii nashangaa unawapa watu mda waandae taarifa za uongo na kujipanga.
Ulikuwa unaheshimika sana na nidhamu ilikuwepo Katika matumizi ya Mali za umma. Inakuwaje Leo takukuru hawaoni ufisadi hadi waambiwe?
Mama Samia anakuchoresha tu lakini unachofanya sasa ni kazi bure kwani yeye mwenyewe kakumbatia mafisadi.
Haya muheshimiwa endelee kupuyanga ila hatuachi kuiba huna meno wala effect.
Kwa taarifa yako hivi sasa Kuna watendaji wana nguvu kuliko pm kwa sasa. Kwasabb magod father wao ni wazito mno..
Lkn sifa ya kiongozi siyo kuogopwa wala kutisha watu.
Mamlaka siyo kufoka wala kutisha kama simba.uongozi ni mamlaka,ukiona hata mwanao ukifoka hashtukia anacheka ushatiwa kidole tayari dear.
ila ni kubembeleza na kupendezeana kama tausi.Mamlaka siyo kufoka wala kutisha kama simba.
Ili twende sawa naomba clip Moja tuu ya Majaliwa chini ya Mwendazake akiibua Ufisadi,ukiipata nafunga acc jf na hapo ndio utaelewa PM anafanya Nini na wewe.umeandika Nini.Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri.
Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo.
Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata kidogo ndo maana watu wanaendelea kupiga tu.
Kasim Majaliwa wa Magufuli siyo wa Samia, Kasim Majaliwa wa Magufuli alikuwa naogopwa kama RADI.
Watendaji walikuwa hawalali siku mbili mfululizo kabla ya ujio wako walikesha wakiandaa makablasha na kuweka taarifa sawa.
Nikiwa simiyu mwaka 2016 mkurugenzi wa wilaya ya maswa Trasias Kagenzi alikufa Kwa presha siku moja kabla hujafika wilayani hapo.
Enzi hizo defender zilikuwa tayari kubeba watuhumiwa baada ya kikao mda huo hizo, Leo hii nashangaa unawapa watu mda waandae taarifa za uongo na kujipanga.
Ulikuwa unaheshimika sana na nidhamu ilikuwepo Katika matumizi ya Mali za umma. Inakuwaje Leo takukuru hawaoni ufisadi hadi waambiwe?
Mama Samia anakuchoresha tu lakini unachofanya sasa ni kazi bure kwani yeye mwenyewe kakumbatia mafisadi.
Haya muheshimiwa endelee kupuyanga ila hatuachi kuiba huna meno wala effect.
Pamoja na kwamba umeandika upuuzi Ila nakukumbusha tuu Makonda alikuwa na nguvu sio tuu kuliko PM Bali kuliko Spika na VP.Kwa taarifa yako hivi sasa Kuna watendaji wana nguvu kuliko pm kwa sasa. Kwasabb magod father wao ni wazito mno..
Lkn sifa ya kiongozi siyo kuogopwa wala kutisha watu.
Ili twende sawa naomba clip Moja tuu ya Majaliwa chini ya Mwendazake akiibua Ufisadi,ukiipata nafunga acc jf na hapo ndio utaelewa PM anafanya Nini na wewe.umeandika Nini.
Nilitaka uingie kwenye mtego,kumbe Mwendazake alikuwa analea ufisadi na alipokuwa anajigamba ilikuwa bortion kwa wajinga 😆😆
Haya funga sasa Account, enzi zile nakwambia hapakuwa na lelemama alikua anafukuza hapo hapo na hatua zingine juu
We huna akili, kuna sehemu nilisema wezi hawakuwepo.Nilitaka uingie kwenye mtego,kumbe Mwendazake alikuwa analea ufisadi na alipokuwa anajigamba ilikuwa bortion kwa wajinga 😆😆
Umeanza kuhamisha magoli 😂😂We huna akili, kuna sehemu nilisema wezi hawakuwepo.
Nilisema walikuwa wanashugulikiwa kisawasawa