Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali

Kwenye hili la kusafirisha mchanga bila kujua kilichomo, take it from me, tunaendelea kupigwa!.
P
Wamesema wameyapima na kuchukua kodi
 
Watasha wanawaaminisha watu kuwa kuchenjua ni gharama sana na wanahitaji tech ya juu ili tuendelee kupigwa.
 
Hatari sana Mwana wa kwetu.

PM jiandae kuachia ngazi tu hakuna namna.
Tunayo yajua ni zaidi ya hilo jibu.

Weka hapa hilo unalolijua maana kama ni kusafirishwa yameanzwa kusafirishwa toka wakati wa Magu, japo ilikuwa haitangazwi ili kuhadaa umma kuwa yamedhibitiwa, na vyombo vya habari viliogopa kutangaza, kwani dhalimu angeweza kuvifungia.
 
Suala la makinikia kuchenjuliwa bongo land kwamba watajenga kiwanda cha kuchenjulia ilikuwa ni ndoto ya mchana, tatzo siasa na propaganda zilikuwa nyingi sana
Kiwanda cha kuchenjulia makinikia ya madini kinajengwa Kahama mkuu na mkataba ushasainiwa mapema mwaka huu.
 
Weka hapa hilo unalolijua maana kama ni kusafirishwa yameanzwa kusafirishwa toka wakati wa Magu, japo ilikuwa haitangazwi ili kuhadaa umma kuwa yamedhibitiwa, na vyombo vya habari viliogopa kutangaza, kwani dhalimu angeweza kuvifungia.
Kwanini wewe hukutangaza? Kiwanda ya kuchenjua makinikia kinajengwa Kahama na mkataba ulishasainiwa mapema mwaka huu na wakati wakusainiwa ilionyeshwa live na TBC1. Wewe hukuona kwa kuwa ulikuwa zamu ya uljnzi pale mtaa wa ufipa.
 
Ww uliona igizo la kusaini huo mkataba, lakini hujui lolote lililo ndani ya huo mkataba uliosainiwa. Zile live za dhalimu zilikuwa za kupumbaza wajinga wa aina yako.
 
Mimi siwezi kulingana na wewe fala mkubwa. Mimi exposure yangu ni zaidi ya wazazi wako. Wewe kula kulala.
 
Ni kweli kabisa, nimezaliwa na kukulia hapa hapa Dar, sina exposure yoyote zaidi ya hii Dar.
 
Back
Top Bottom