johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahah mnamkataa Mbunge wenu tena? Yule ni Mbunge wa CHADEMA na yupo pale kaa ridhaa ya wananchi! Wabunge wengine akiongozwa na Mwenyekiti wenu Mbowe wameshindwa kutetea majimbo yao. Msimkatae mwenzenu kisa yuko peke yake. Ndo demokrasia hiyo vumilieni tu.Vyama rafiki au yule mbunge ndio rafiki yenu?
Angetakiwa kusema anamshukuru mbunge rafiki kwa kumpigia kura.
Uwe unasoma na kuelewa, usikurupuke kurupuke bwashee!Eti vyama rafiki wakati walikupitisha bila kupingwa!!
Huku ni kujikosha tu kutokana na dhuluma mlizofanyia wapinzani.
Ndio walimpitisha bila kupingwa sasa hutaki au!Eti vyama rafiki wakati walikupitisha bila kupingwa!!
Huku ni kujikosha tu kutokana na dhuluma mlizofanyia wapinzani.
Ulikuwepo?Alitaka kumuua mbunge wa ACT wazalendo baada ya kuchukua fomu.
Hawa jamaa ni wanyama wakali
Bwashee kunywa maji utulieUlikuwepo?
Niko nagonga mbege na kisusio bwashee!Bwashee kunywa maji utulie
Sisi tunasubiri bima ya afya kwa kila mbongo.Niko nagonga mbege na kisusio bwashee!
Hiyo mwakani tu bwashee unapata.Sisi tunasubiri bima ya afya kwa kila mbongo.
Chama oyee
Umenikumbusha ya nape Nauye ya kuwashukuru wapiga kura wake, nilishangaa sanaHahah mnamkataa Mbunge wenu tena? Yule ni Mbunge wa CHADEMA na yupo pale kaa ridhaa ya wananchi! Wabunge wengine akiongozwa na Mwenyekiti wenu Mbowe wameshindwa kutetea majimbo yao. Msimkatae mwenzenu kisa yuko peke yake. Ndo demokrasia hiyo vumilieni tu.
Mtu anapita bila kupingwa lakini bado anashukuru wapiga kura wake, only in TanzaniaEti vyama rafiki wakati kwenye kugombea ubunge walikupitisha bila kupingwa!!
Huku ni kujikosha tu kutokana na dhuluma mlizofanyia wapinzani.
Vyama rafiki au yule mbunge ndio rafiki yenu?
Angetakiwa kusema anamshukuru mbunge rafiki kwa kumpigia kura.
Eti vyama rafiki wakati kwenye kugombea ubunge walikupitisha bila kupingwa!!
Huku ni kujikosha tu kutokana na dhuluma mlizofanyia wapinzani.