So mlimdifia kuwa ameenda Kenya kurudidja uhixiano hivyo mahindi yatapanda beiInasikitisha Sana wakulima wanalipwa 15,000 kwa gunia la mahindi sawa na 2500 kwa debe/20Kgs; Rejea ITV Jana habari malalamiko ya wakulima Rukwa kwa NFRA.
Wakulima waruhusiwe na wapewe utaratibu utakaowawezesha kuuza mazao soko la nje ya nchi ili wapate zaidi.Hakuna neema hapo mkuu nakupa mfano mdogo tu hapa
Mkoa wa ruvuma umezalisha ziada ya tani lak3 msimu huu lakn NFRA watanunua tani elfu 30
Sasa hapo tan 270000 watanunua wengine kitu ambacho hakiwezekani tan zote kununuliwa na watu watu wa nje yaan private companies
Lazma zitabak tani nyingi Sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii ni serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima.
“Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za kwenda kununua mahindi kwa bei ya kumwezesha mkulima ili ajikimu hadi msimu ujao. Uwezo si mkubwa sana, lakini tumeipa shilingi bilioni 15,” amesema.
Chini ya ccn wamegundua mbinu mpya ya kuanzisha tatizo kwa jamii alafu baadae wanajifanya wanaitatuaIle neema ya Mbolea kupanda bei bado tunaikumbuka.Serikali iache kufanya mzaha na wakulima.
PumbafBora serikali inafanya kwa vitendo kile ilichowaahidi wananchi wake. Kuliko wale waliokuwa wanawakata wabunge wao mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kisingizio cha kujenga chama na kukarabati makao makuu. Lkn cha kushangaza juzi kati mwenyekiti alilalamika chama kukosa hata hela ya kuwalipa viongozi walio nje ya genge lake, na pia wameshindwa hata kupiga rangi ofisi ili kuwahadaa vizuri waliokatwa hela zao. It's so sad mkuu.
Pamoja na kujipendekeza kwa mwenyekiti ktk kila thread lkn huwa haoneshi kukujali kabisa au hauoshi mkvndv vizuri?Pumbaf
Ukiona mtu anapendelea mambo ya kishoga basi naye ni shogaPamoja na kujipendekeza kwa mwenyekiti ktk kila thread lkn huwa haoneshi kukujali kabisa au hauoshi mkvndv vizuri?
Uwezo sio mkubwa ndio ujinga gani huo? Si mngechukua pesa za tozo mkanunulie hayo mahindi kwa wingi zaidi? Njaa sio kitu chankufanyia mchezo kabisa, panaweza kutokea ukame haoa tukatafutana humu, hebu kanunueni hayo mahindi haraka!Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima.
“Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za kwenda kununua mahindi kwa bei ya kumwezesha mkulima ili ajikimu hadi msimu ujao. Uwezo si mkubwa sana, lakini tumeipa shilingi bilioni 15,” amesema.
15k kwa gunia ni kuumiza wakulima na kudidimiza kilimo nchini, walau wangefanya 25k kwa gunia ili kuwatia moyo, not fair aisee. NFRA wafanye marejeo ya bei elekezi.Inasikitisha Sana wakulima wanalipwa 15,000 kwa gunia la mahindi sawa na 2500 kwa debe/20Kgs; Rejea ITV Jana habari malalamiko ya wakulima Rukwa kwa NFRA.