Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu ambaye hajajishughulisha kuhakikisha Serikali inakuwa na taasisi imara, ilibaki na hali ilivyo (status quo)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale wa "Kamata" "Weka ndani" "Peleka mahakamani".

Khasimu Majaliwa ni muumini wa mifumo iliyopo (status quo) kwa kuwa ilimbeba. Mifumo kandamizi ambayo ilimpa fursa ya kusema "Kamata huyu" "Fukuza huyu" "Peleka Mahakamani". Kimsingi, ni mifumo ambayo haifuati taratibu (due process) na ndiyo ilimfanya aonekane mchapa kazi. Nje ya mifumo hiyo, hamna kitu.

Mifumo ya ukusanyaji wa mapato, hakuiboresha kwa wakati wowote ule ili mapato yasivuje. Alichobakiza ni kuvizia taarifa za halmashauri, anaenda huko, anafoka, anakamata, basi, anaishia hapo, hakuna mchakato alioanzisha wa kuifumua na kuiboresha mifumo hiyo.

Alikuwa anastawi kisiasa mifumo ikiwa hivyo, kwa kuwa ilimpa nafasi ya kuonekana pale mifumo inapoonyesha udhaifu. Aliutunza udhaifu wa mifumo ili adumu (thrive) kisiasa.

Kwa ujumla, hakuna mabadiliko makubwa yoyote aliyosimamia wakati wa uongozi wake.

Udhaifu wake sasa unaonekana kwa sababu SSH anataka mifumo ifanye kazi, Majaliwa anakuwa anapwaya kwa aina hiyo ya uongozi.

Na ndivyo anavyoonakana kuwa hivyo sasa.

Rais Samia akizisuka Halmashauri na Idara za Serikali vizuri zaidi, ndivyo Kassim anavyozidi kupoteza relevance.
 
Aliyeshika medula zao Mungu alifanya yake, sasa medula zao zmepoteza direction.
 
Mataga wanasema ndiye mrithi wa jiwe!
Wenyewe wanamuita "last card", watu wanambania kitufe Cha pumzi tu, hewa ikiisha atatoka mwenyewe akiwa amechuja kisiasa.

Formation ya awamu ya sita haimfiti
 
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale wa "Kamata" "Weka ndani" "Peleka mahakamani".

Khasimu Majaliwa ni muumini wa mifumo iliyopo (status quo) kwa kuwa ilimbeba. Mifumo kandamizi ambayo ilimpa fursa ya kusema "Kamata huyu" "Fukuza huyu" "Peleka Mahakamani". Kimsingi, ni mifumo ambayo haifuati taratibu (due process) na ndiyo ilimfanya aonekane mchapa kazi. Nje ya mifumo hiyo, hamna kitu.

Mifumo ya ukusanyaji wa mapato, hakuiboresha kwa wakati wowote ule ili mapato yasivuje. Alichobakiza ni kuvizia taarifa za halmashauri, anaenda huko, anafoka, anakamata, basi, anaishia hapo, hakuna mchakato alioanzisha wa kuifumua na kuiboresha mifumo hiyo.

Alikuwa anastawi kisiasa mifumo ikiwa hivyo, kwa kuwa ilimpa nafasi ya kuonekana pale mifumo inapoonyesha udhaifu. Aliutunza udhaifu wa mifumo ili adumu (thrive) kisiasa.

Kwa ujumla, hakuna mabadiliko makubwa yoyote aliyosimamia wakati wa uongozi wake.

Udhaifu wake sasa unaonekana kwa sababu SSH anataka mifumo ifanye kazi, Majaliwa anakuwa anapwaya kwa aina hiyo ya uongozi.

Na ndivyo anavyoonakana kuwa hivyo sasa.

Rais Samia akizisuka Halmashauri na Idara za Serikali vizuri zaidi, ndivyo Kassim anavyozidi kupoteza relevance.
Majaliwa sijawahi mwelewa ni waziri Mkuu w Nchi gani. Maana sioni kazi yake.
 
Uzi ni wako lakini umewahi siti ya mbele.
Nimetumia nguvu nyingi sana kufikisha ujumbe kwa kundi la Jiwe, wanasoma, wanakimbia, hawataki kuweka comment
 
Majaliwa alichofanya kizuri, kutukataza kutumia mifuko ya Rambo, wakati katumia mpaka alipopata uwaziri ndio kaiona ni uchafuzi wa mazingira, mpaka January alionekana hafai, afanyikazi kwenye wizara yake.
 
Khasimu Majaliwa ni muumini wa mifumo iliyopo (status quo) kwa kuwa ilimbeba. Mifumo kandamizi ambayo ilimpa fursa ya kusema "Kamata huyu" "Fukuza huyu" "Peleka Mahakamani". Kimsingi, ni mifumo ambayo haifuati taratibu (due process) na ndiyo ilimfanya aonekane mchapa kazi. Nje ya mifumo hiyo, hamna kitu.
😅😅
 
Mifuko ya plastik imerudi kwa kasi sana mtaani,
 
Tangu lini mfumo ukajenga mfumo?

Mfumo chini ya Katiba hii ya 1977 ujijengwa lini, ukabomoka Hadi sa100 aujenge?

Akishamaliza kujenga huo mfumo fikirishi Yale maneno ya Mzee yule wa Kongwa YANATIMIA😠😠
 
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale wa "Kamata" "Weka ndani" "Peleka mahakamani".

Khasimu Majaliwa ni muumini wa mifumo iliyopo (status quo) kwa kuwa ilimbeba. Mifumo kandamizi ambayo ilimpa fursa ya kusema "Kamata huyu" "Fukuza huyu" "Peleka Mahakamani". Kimsingi, ni mifumo ambayo haifuati taratibu (due process) na ndiyo ilimfanya aonekane mchapa kazi. Nje ya mifumo hiyo, hamna kitu.

Mifumo ya ukusanyaji wa mapato, hakuiboresha kwa wakati wowote ule ili mapato yasivuje. Alichobakiza ni kuvizia taarifa za halmashauri, anaenda huko, anafoka, anakamata, basi, anaishia hapo, hakuna mchakato alioanzisha wa kuifumua na kuiboresha mifumo hiyo.

Alikuwa anastawi kisiasa mifumo ikiwa hivyo, kwa kuwa ilimpa nafasi ya kuonekana pale mifumo inapoonyesha udhaifu. Aliutunza udhaifu wa mifumo ili adumu (thrive) kisiasa.

Kwa ujumla, hakuna mabadiliko makubwa yoyote aliyosimamia wakati wa uongozi wake.

Udhaifu wake sasa unaonekana kwa sababu SSH anataka mifumo ifanye kazi, Majaliwa anakuwa anapwaya kwa aina hiyo ya uongozi.

Na ndivyo anavyoonakana kuwa hivyo sasa.

Rais Samia akizisuka Halmashauri na Idara za Serikali vizuri zaidi, ndivyo Kassim anavyozidi kupoteza relevance.
Qanajitahidi kuboresha mifumo ya ukusanyaji mapato halmashauri, saiv Kuna mfumo mpya umeletwa unaitwa Tausi,hiyo yote ni ktk kuboresha mapato na kuzuia mianya ya upigaji
 
Atupishe, ameshakuwa zilipendwa
 
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale wa "Kamata" "Weka ndani" "Peleka mahakamani".

Khasimu Majaliwa ni muumini wa mifumo iliyopo (status quo) kwa kuwa ilimbeba. Mifumo kandamizi ambayo ilimpa fursa ya kusema "Kamata huyu" "Fukuza huyu" "Peleka Mahakamani". Kimsingi, ni mifumo ambayo haifuati taratibu (due process) na ndiyo ilimfanya aonekane mchapa kazi. Nje ya mifumo hiyo, hamna kitu.

Mifumo ya ukusanyaji wa mapato, hakuiboresha kwa wakati wowote ule ili mapato yasivuje. Alichobakiza ni kuvizia taarifa za halmashauri, anaenda huko, anafoka, anakamata, basi, anaishia hapo, hakuna mchakato alioanzisha wa kuifumua na kuiboresha mifumo hiyo.

Alikuwa anastawi kisiasa mifumo ikiwa hivyo, kwa kuwa ilimpa nafasi ya kuonekana pale mifumo inapoonyesha udhaifu. Aliutunza udhaifu wa mifumo ili adumu (thrive) kisiasa.

Kwa ujumla, hakuna mabadiliko makubwa yoyote aliyosimamia wakati wa uongozi wake.

Udhaifu wake sasa unaonekana kwa sababu SSH anataka mifumo ifanye kazi, Majaliwa anakuwa anapwaya kwa aina hiyo ya uongozi.

Na ndivyo anavyoonakana kuwa hivyo sasa.

Rais Samia akizisuka Halmashauri na Idara za Serikali vizuri zaidi, ndivyo Kassim anavyozidi kupoteza relevance.
Mmehangaika sana toka Sa100 anaingia madarakani lakini yamewashinda. Mnatafuta kila mbinu kumtoa kwenye njia lakini wapi.
 
Back
Top Bottom