Piere alipodhihakiwa mbele ya hafla ya Tokomeza Zero, akiwa mgeni mualikwa, tena kaalikwa na DC kwa heshima na taratibu zote.
Aliduwazwa kwa kitendo cha kutukana na mualikwa mwenzake, tena mbele za watu wote wakiwa na hadhi sawa katika ile hafla.
Huku akiwa amechangia shilingi Laki Moja.
Wengi hapa hatujasaidia chochote kwenye ile harambee ya Tokomeza Zero.
Lakini Piere kachangia Laki moja, pesa yake ya mfukoni.
Piere akastuka anatukanwa na mwalikwa mwenzake na mchangiaji mwenzake, matusi ya nguoni kabisa bila sababu.
Lakini alitulia kimyaaaaa.
Hivi ingekuwa Piere ndo kasimama na kusema
" mkuu wa mkoa huu wa darusalimu ndugu paula mkondakta ni mtu wa hovyo hovyo tu na nashangaa kwanini mnampa muda wa kuonekana "
Leo hii, je hali ingekuwaje kwa Piere?
kama sio kuwa Lupango, huku akiwa madamu chepachepa kwa kipigo.
Lakina Piere alitulia, kama hajasikia vile.
Na baada ya kutoa mchango wake akaondoka kimyakimya bila kusema kitu chochote.
Watu mjue kuwa,
Mungu mwenyewe hajawahi kumdharau Binadamu yeyote, anawapenda hadi Mashoga na wanapotubu huwapokea na kuwasamehe kabisa na kuwakaribisha ktk mbingu yake ya thamani.
Mungu toka auumbe huu ulimwengu hajawahi kumwita binadamu yeyote kuwa ni mtu wa hovyo hovyo tena kwa kumtaja jina.
Hata baada ya kumtukana Piere Makondakta bado ameendelea kusisitiza kuwa,
Piere ni mtu wa hovyo hovyo kama alivyosema,
Na kasema eti kwa sasa hatuja elewa, lakini baadae tutamwelewa kuwa alikuwa sahihi kumwita Liquid mtu wa hovyo hovyo.
NAMSHAURI PAULINA KONDA, KUWA AANZISHE DINI YAKE ILI APATE WATU WA KUMWABUDU.
NI MTU GANI ASIYEWEZA KUJISHUSHA NA KULINGANA NA WENGINE ...!
ASIYEWEZA KUOMBA MSAMAHA PALE AMBAPO ANAKOSEA...!
ANAYEJITANGAZA KUWA NI MTU BORA, YAANI HANA DHAMBI, WALA HAKOSEI...!
ANAJIONA YUKO JUU YA SHERIA NA HAOGOPI CHOCHOTE..!
MAKONDE AANZISHE DINI ILI AABUDIWE...!
KWA MAANA ANATABIA SAWASAWA NA ZA mungu.
mungu Kondo.
NB
Sisi wapigakura kwa sasa hatumhitaji tena Makondi kuwa kiongozi.
Sasa chagua upo kwa ajiri ya kumtumikia yeye au sisi.
Sent using
Jamii Forums mobile app