Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

Ooooh.... Huwa naambiwa Makuli wana lugha zisizo za kistaarabu. Sawa Chawa nimekuelewa.
sasa hapa ushanitukana! mimi tena nimegeuka kuwa chawa? kwa hiyo wewe unatukana wengine? sasa sijui nikasirike lakini kwakuwa mi wa Mbagala sawa mkuu!
 
una bahati kwanza kulelewa na wazazi wote wawili ila unatakiwa ujifunze kuwavumilia wengine pia kwakuwa binafsi naamini kila mtu unayekutana naye anachakwako na ni fursa kwako hivyo tunahitaji kuvumiliana na kupendana.
na tafsiri ya umependo ni kuvumilia kwa mapungufu ya wengine na kuwapenda tusiofanana nao.
Kuwavumilia katika shida zao? Yeaah nawajali sana. Ila kwenye matusi ndo nashangaa.... Wewe unaweza ukawa unavumilia kutukanwa? Why?
 
Kuna kipindi nlitaka kufuga Kasuku Mimi nawapenda. But demu wangu wa kipindi hicho alinikataza kabisa. Akisema hawa ndege wana imani imani flani pia.

Tulikuwa tukibishana sana. Na anadai wangesababisha hata mimi na yeye tusioane. Hivyo hakutaka kabisa kusikia hizo habari. Kwa kipindi hicho sikutaka kumpoteza kwa sababu ya Kasuku.

Anyway .... Sikufuga na bado yeye sikumuoa. So nadhani haikuwa kigezo.

Ila leo nimegundua kuna watu wanafiq sana. Na wanaharibu hata imani za dini. Jamaa yangu huyu yeye yupo na mkewe na mtoto mdogo wa mwaka mmoja.

Nimekuja mtembelea. Nimekaa sebuleni kwake sasa nikamwita ili aje niondoke. Maana naona hiki kibaridi sijui kaenda kupasha moto msuli. Kamwita mkewe wameenda chumbani kisha kimya. Mimi huku walijisahau wakawa wamewasha TV hivi vipindi vyao tamthiliya za Kiswahili.

Binafsi ukitaka nikimbiza haraka nyumbani kwako niwekee hayo makitu. Basi nikaona muda umeenda. Nikajaribu piga simu inaita ipo hapa hapa mezani.

Basi nikaita baba xxxxxx. Nikaita tena.

Kasuku si akajibu " nakuja acha usengeh wewe" nikashtuka. Sina mazoea hayo na huyu jamaa. Kabisa. So nikaita tena. Akajibu tena "nakuja acha usengeh wewe" akaanza rudia rudia hayo maneno. Nikaamua kunyamaza.

Nimejifunza jamaa siyo swala tano wala nini. Mhuni tu na anatumia dini vibaya. Mi nlikuwa namheshimu sana lakini kitendo cha kumwambia Kasuku wake anitukane kimenifikirisha sana. Why lakini? Mimi nilimkosea nini? Je ningekaa tu sebuleni kumsubiri mtu anamla mkewe? Si heshima. Na ni yeye kaniomba nimpitishe kwake leo hakuwa na gari. Kaniambia nisubiri tutoke wote. Then naambulia matusi? Siyo haki. Nimeumia sana. Sijapenda kwa kweli
Sawa gari unalo vipi huyo kasuku kasajiliwa au ni muhamiaji haramu
 
Kwahyo unamuonea wivu mke wa jamaa au? Ndo mume wenu?
 
sasa hapa ushanitukana! mimi tena nimegeuka kuwa chawa? kwa hiyo wewe unatukana wengine? sasa sijui nikasirike lakini kwakuwa mi wa Mbagala sawa mkuu!
Ha ha ha.. hapana. Sijakutukana. Unatakiwa ujifunze kuvumilia wengine. Umetoka kunipa hilo somo. Sisi wa Mbezi na Mbagala hatuna Ugomvi. Au nasema uongo?
 
na kasuku atamjibu ye yote sio yeye tu
Ikija ikatokea unatembea ukapita sehemu flani. Wahuni wakakubaka. Ukaenda kulalamika Polisi wakakuambia siyo wewe tu hao jamaa wanabaka mwanamke yeyote. Utajisikia ahueni?
 
Halafu siwezagi kumwita mwanamme mwenzangu 'Baba flani'
 
Ikija ikatokea unatembea ukapita sehemu flani. Wahuni wakakubaka. Ukaenda kulalamika Polisi wakakuambia siyo wewe tu hao jamaa wanabaka mwanamke yeyote. Utajisikia ahueni?
hiyo mifano miwili haina uhusiano wowote. Kasuku ni ndege na kama unamjua tabia yake ukimfundisha kitu atajibu kwa yeyote habagui hachagui.
 
Back
Top Bottom