Duh hii kali ya mwaka🤔Hawa wenzetu wa dini ya mnyaazii wana mambo sana.
Kuna jamaa aliwahi panga home,enzi hizo nimemaliza chuo,nabazbaz tu home,nikisikilizia michongo.Alikuwa na mke na mtoto mmoja wa kike,huyu dada nikiri kweli alikuwa kisu,msomali flan.Jamaa alikuwa swala 5,alikuwa anauza duka la simu stend kuu ya mabasi ya mkoa,ila ilikuwa kila mchana lazima arudi kula msosi home.
Wale watu walikuwa wanaoga pamoja,iwe usiku au mchana,halafu bafu lenyewe la nje lol.Yule mwanamke alikuwa muda wote amechoka,anaamka saa4 hoi,hawezi hata kupiga deki,jiran kulikuwa na vibinti vilivyoacha shule,ndo walikuwa mashost zake,so muda mwingi wanakuja msaidia,kupika na usafi.Yeye daima alikuwa mchovu na mwenye kusinzia sana mchana,siku moja nikaja vidadis vile vitoto,sababu ya Ile hali ni nn?manake ndo vilikuwa visiri vyake,yalaah walonambia nilichoka🙏jamaa alivyo ustadh swafi usingewedha mdhania.