sasa hapa ushanitukana! mimi tena nimegeuka kuwa chawa? kwa hiyo wewe unatukana wengine? sasa sijui nikasirike lakini kwakuwa mi wa Mbagala sawa mkuu!Ooooh.... Huwa naambiwa Makuli wana lugha zisizo za kistaarabu. Sawa Chawa nimekuelewa.
ParrotKasuku Kwa kiingereza anaitwaje
na kasuku atamjibu ye yote sio yeye tuSimply hayo ni majibu jamaa huwa anamjibu mkewe au hujibiwa na mkewe akiita wakiwa ndani,kasuku amekariri.
Usiumize kichwa.
Kuwavumilia katika shida zao? Yeaah nawajali sana. Ila kwenye matusi ndo nashangaa.... Wewe unaweza ukawa unavumilia kutukanwa? Why?una bahati kwanza kulelewa na wazazi wote wawili ila unatakiwa ujifunze kuwavumilia wengine pia kwakuwa binafsi naamini kila mtu unayekutana naye anachakwako na ni fursa kwako hivyo tunahitaji kuvumiliana na kupendana.
na tafsiri ya umependo ni kuvumilia kwa mapungufu ya wengine na kuwapenda tusiofanana nao.
Sawa gari unalo vipi huyo kasuku kasajiliwa au ni muhamiaji haramuKuna kipindi nlitaka kufuga Kasuku Mimi nawapenda. But demu wangu wa kipindi hicho alinikataza kabisa. Akisema hawa ndege wana imani imani flani pia.
Tulikuwa tukibishana sana. Na anadai wangesababisha hata mimi na yeye tusioane. Hivyo hakutaka kabisa kusikia hizo habari. Kwa kipindi hicho sikutaka kumpoteza kwa sababu ya Kasuku.
Anyway .... Sikufuga na bado yeye sikumuoa. So nadhani haikuwa kigezo.
Ila leo nimegundua kuna watu wanafiq sana. Na wanaharibu hata imani za dini. Jamaa yangu huyu yeye yupo na mkewe na mtoto mdogo wa mwaka mmoja.
Nimekuja mtembelea. Nimekaa sebuleni kwake sasa nikamwita ili aje niondoke. Maana naona hiki kibaridi sijui kaenda kupasha moto msuli. Kamwita mkewe wameenda chumbani kisha kimya. Mimi huku walijisahau wakawa wamewasha TV hivi vipindi vyao tamthiliya za Kiswahili.
Binafsi ukitaka nikimbiza haraka nyumbani kwako niwekee hayo makitu. Basi nikaona muda umeenda. Nikajaribu piga simu inaita ipo hapa hapa mezani.
Basi nikaita baba xxxxxx. Nikaita tena.
Kasuku si akajibu " nakuja acha usengeh wewe" nikashtuka. Sina mazoea hayo na huyu jamaa. Kabisa. So nikaita tena. Akajibu tena "nakuja acha usengeh wewe" akaanza rudia rudia hayo maneno. Nikaamua kunyamaza.
Nimejifunza jamaa siyo swala tano wala nini. Mhuni tu na anatumia dini vibaya. Mi nlikuwa namheshimu sana lakini kitendo cha kumwambia Kasuku wake anitukane kimenifikirisha sana. Why lakini? Mimi nilimkosea nini? Je ningekaa tu sebuleni kumsubiri mtu anamla mkewe? Si heshima. Na ni yeye kaniomba nimpitishe kwake leo hakuwa na gari. Kaniambia nisubiri tutoke wote. Then naambulia matusi? Siyo haki. Nimeumia sana. Sijapenda kwa kweli
Ha ha ha.. hapana. Sijakutukana. Unatakiwa ujifunze kuvumilia wengine. Umetoka kunipa hilo somo. Sisi wa Mbezi na Mbagala hatuna Ugomvi. Au nasema uongo?sasa hapa ushanitukana! mimi tena nimegeuka kuwa chawa? kwa hiyo wewe unatukana wengine? sasa sijui nikasirike lakini kwakuwa mi wa Mbagala sawa mkuu!
Kwahyo unamuonea wivu mke wa jamaa au? Ndo mume wako?Kwahyo unamuonea wivu mke wa jamaa au? Ndo mume wenu?
Magari usinipunje. Yapo matatu.Sawa gari unalo vipi huyo kasuku kasajiliwa au ni muhamiaji haramu
So nifurahie tu? Lakini wewe unaona ni sawa?na kasuku atamjibu ye yote sio yeye tu
Ikija ikatokea unatembea ukapita sehemu flani. Wahuni wakakubaka. Ukaenda kulalamika Polisi wakakuambia siyo wewe tu hao jamaa wanabaka mwanamke yeyote. Utajisikia ahueni?na kasuku atamjibu ye yote sio yeye tu
Alafu wewe namashaka na wewe jamaa unamuita baba flani haya mama flanKwahyo unamuonea wivu mke wa jamaa au? Ndo mume wako?
hiyo mifano miwili haina uhusiano wowote. Kasuku ni ndege na kama unamjua tabia yake ukimfundisha kitu atajibu kwa yeyote habagui hachagui.Ikija ikatokea unatembea ukapita sehemu flani. Wahuni wakakubaka. Ukaenda kulalamika Polisi wakakuambia siyo wewe tu hao jamaa wanabaka mwanamke yeyote. Utajisikia ahueni?