Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

Polesan bwanmkubwa akunachaswala5 saiv labd swalayakushonea viatu 2
 
hiyo mifano miwili haina uhusiano wowote. Kasuku ni ndege na kama unamjua tabia yake ukimfundisha kitu atajibu kwa yeyote habagui hachagui.
The point is why afundishwe matusi? Huo mfano una uhusiano. Sababu mbakaji ni mhuni habagu hachagui.
 
Unatembelea yote kwa wakati mmoja? Haya tushajua yapo matatu kipi kingine tukijue
Yes. Huwa yanaunga yanavutana. Na enjoy sana. Kingine nina mademu wanne wakali sana. Wakali balaa...
 
Kasuku hanaga ujinga wa maneno ya kizushi anapotezea
Kuna jamaa alikuwa akidodosha chombo anatukana, iwe kijiko sahani au chochote ili mradi kimetoa mlio au kuvunjika.

Sasa tabu ilikuwa kwa wageni hata mlio utokee jikoni nyinyi mliopo sebuleni mtaambulia matusi.

Alipenda sana kutumia "kum@m@£"
 
Kibaridi
Kamwita mkewe chumbani

Ok so
 
Yes. Huwa yanaunga yanavutana. Na enjoy sana. Kingine nina mademu wanne wakali sana. Wakali balaa...
Tuambie na ile stori yako walivyokufanya vibaya mbona u atunyima uhondo hivi ilikuaje yule jamaa akaanza kukupapasa trakoooo na ukawa kimya aseee😂😂😂
 
Tuambie na ile stori yako walivyokufanya vibaya mbona u atunyima uhondo hivi ilikuaje yule jamaa akaanza kukupapasa trakoooo na ukawa kimya aseee😂😂😂
Tuambie na ile stori yako walivyokufanya vibaya mbona u atunyima uhondo hivi ilikuaje yule jamaa akaanza kukupapasa trakoooo na ukawa unafurahi aseee😂😂😂
 
,
🤣🤣🤣Alimwita baba jumaa 🤣kasuku akajua ni mke wa Ustadh akajibu alivyoelekezwa na Ustadh🤔
 
Ogopa sana watu wanaojifanya wapenda dini, kuna mengi sana wanayaficha kupitia hizi dini zao za maboti. Mtaani kwetu huku Sinza (sitaji ni Sinza ipi kwa usalama zaidi) kuna alwatani flani mwaka juzi aliumbuka hivi hivi, yeye alikuwa mtu wa swala 5 na aliheshimika sana kwa kuwa mstaarabu kisa tu eti anaswali swala 5 kwa siku. Sikuwahi mkubali yule jama kwani mimi siku zote uwa siwaamini kabisa watu wa namna hii. Basi yule jamaa alipangisha nyumba yake kwa jamaa fulani hivi toka mkoa. Mke wa yule mpangaji kila kukicha alikuwa anaumwa umwa na kuchoka mno huku akisumbuliwa sana na tumbo pamoja na sehemu za siri. Jamaa alimuuguza mkewe bila mafaniko mwishowe akaamua kuleta mtaalam wa kiaisili kutoka kwao (mkoani). Kuja yule mtaalamu na kutibia mkewe huyu jirani yetu, haki ya nani watu hapa mtaani walikimbiza vi-Emoro kama vitatu hivi (majini) havina vichwa kutoka mle ndani ambao ndio walikuwa wanamfila mke wa yule jamaa mpangaji. Toka siku ile (2021) mpaka leo hii yule mwenye nyumba hafiki hapa mtaani na msikitini haendi tena, kahamia msikiti mwingine tena Magomeni. Fikiria anatoka hapa Sinza anakwenda kusali Magomeni wasikomjuwa vizuri.
 
Huyu kasuku ni mstaarab sana hajakuambia kuwa "Oyaaaa, jamaa anamla mkewe, nenda kawachungulie."
 
Duh hii kali ya mwaka🤔Hawa wenzetu wa dini ya mnyaazii wana mambo sana.
Kuna jamaa aliwahi panga home,enzi hizo nimemaliza chuo,nabazbaz tu home,nikisikilizia michongo.Alikuwa na mke na mtoto mmoja wa kike,huyu dada nikiri kweli alikuwa kisu,msomali flan.Jamaa alikuwa swala 5,alikuwa anauza duka la simu stend kuu ya mabasi ya mkoa,ila ilikuwa kila mchana lazima arudi kula msosi home.
Wale watu walikuwa wanaoga pamoja,iwe usiku au mchana,halafu bafu lenyewe la nje lol.Yule mwanamke alikuwa muda wote amechoka,anaamka saa4 hoi,hawezi hata kupiga deki,jiran kulikuwa na vibinti vilivyoacha shule,ndo walikuwa mashost zake,so muda mwingi wanakuja msaidia,kupika na usafi.Yeye daima alikuwa mchovu na mwenye kusinzia sana mchana,siku moja nikaja vidadis vile vitoto,sababu ya Ile hali ni nn?manake ndo vilikuwa visiri vyake,yalaah walonambia nilichoka🙏jamaa alivyo ustadh swafi usingewedha mdhania.
 
Hapo unamlaumu tu huyo Jamaa,huyo kasuku ndio kaamua kukutolea uvivu,mkuu next time muonyesheee bisu mwambie utamchemsha supu akirudia,uone kama atafanya tena
 
Ogopa sana hawa watu wanaokashifu unywaji bia, kula mfalme wa mezani (kitimoto) na kujifanya wanamjuwa Mungu. Fuatilia hata Wakristo wanaojifanya wanamjuwa sana Mungu na kujiita watumishi wake, si watu poa hata kidogo na nakiri HAKUNA hata mmoja wao aliye salama, wachunguzeni tu na mtakuja kupata jibu kwanini wamejiingiza kwenye dini kuzuga watu. Binafsi sipendi kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…