Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Tunaanza kuongea Lugha mojaTRA ni wajinga sana mkiwachekea
Tulipekodi kwa maendeleo ya Nchi yetu.
Hivi unawezaje toa rushwa ili ulipe kodi?? Mbona hii imekaa kimtego au wanasababu na MTU?? Mm ningekwenda Takukuru kwa Salum Hamduni ili washikwe hao wanaotaka rushwa.Sasa na kesho trafik mmoja akiomba rushes madereva tusiendeshe magari? Na inawezekanaje wore waliombwa rushwa kwani wanalipa kodi sawa au wanatofautiana kutegemeana na biashara ulivyoenda.Mtazamo wangu zipo taasisi husika wangetumia busara kutibu shida kuliko hiki maana hapa isije kuwa wanataka MTU afukuzwe ili mambo yaende vizuri.Us Haiti want sends Takukuru ili apatikane Hugo mla rushwa wanaomsema.Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao.
Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na kuitaka Serikali kuingilia kati.
Tayari Mbunge wa Kasulu Mjini Prof. Joyce Ndalichako pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye wamefika Kasulu kufanya mkutano na Wafanyabiashara hao ili kuweka mambo sawa.