Halafu ukiyaona kwenye V8
Jibu la kweli lkn la kihuniSasa ulitaka wapande wote? Lazima wapande kwa zamu ndugu
Duuuh!?Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.
Chanzo: Nipashe
View attachment 1916490
View attachment 1916492
Ha ha haaa. Inabidi mara mojamoja tu mkuu.Jibu la kweli lkn la kihuni
Kuzaa sio tatizo dogo mkuu. Ni Bora kukosa bombadier zote lkn mama mmoja ajifungue salama.Ukiona Rais wetu anavyozunguka na Airbus, unaweza kudhani Tanzania haina matatizo madogo kama hayo.
KAZI IENDELEE, nimedemkaNawasalimia kwa sauti ya KUDEMKA na nyinyi mnajibu KAZI IENDELEE [emoji12][emoji12][emoji12]
Jibu la kindava sana hiliSasa ulitaka wapande wote? Lazima wapande kwa zamu ndugu
Nchi ingekuwa inatawaliwa na mwanaume tungekuwa na la kusema lakini...Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.
Chanzo: Nipashe
View attachment 1916490
View attachment 1916492