Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Miaka michache nyuma ilikuwa kila mtu akitaka kununua gari ni toyota
Ilifikia mahala mpaka zikawa kama utambulisho
Naona sasa watu wamebadirika wananunua magari tofauti
Now subaru zipo nyingi, mazda,nissan kuna wabishi wanaendesha mpaka smart
 
Sio kweli. Labda mmiliki hana hela au hana mafundi wazuri. Unataka kusema hizi Touareg zinazotembea hazina AC?
Mkuu naongea nikiwa najua ninachosema.......magari mengi yanayotoka Europe yanatengenezwa kwa market ya Europe.....taking into consideration hali ya hewa.....AC nyingi za BMW, VW zinafanya vizuri pale hali ya mazingira inapokuwa ya baridi.....lakini kwa hali ya mazingira yenye joto hazina capacity ya ku cool gari compared na gari zilizotengenezwa kwa market za Asia
 
Wewe unafikiri naongea nisichokijua? Nimetumia hayo magari nje na Tz natumia. Kwanza Toyota nyingi ni used from Japan maanake ni soko la Jp na hizi VW,Audi nyingi uzionazo Tz zinatoka Japan Kwa soko la Japan
 
Back
Top Bottom