Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

Issue kubwa Ni upatikanaji wa mafundi na spare . Toyota kila Kona ya nchi mafundi na spare ziko kibao na Bei za matengenezo ndogo.Nunua Benz,BMW ,RangeLover nk uone mziki wake siku likileta tatizo mafundi taabu kuwapata spare taabu na gharama za kutengeneza za kufa mtu
Hapo ndio wanasema jikune mkono unapofikia.
Ukijidai MO au Bakhresa maumivu yake ni makubwa ha ha ha
 
Toyota ni gari lilisokuwa sana. Ukitembelea development center yao pale Toyota City, Nagoya Japan, utashangaa jinsi wanavyo lisubulisha gari kabla ya kulitoa. Wakati magari mengi yanatoka kila baada ya miaka mitatu, utashangaa kuwa ingawa Toyota nao wanatoa baada ya miaka mitatu, ukweli ni kuwa sehemu nyeti za gari wanaziatathmini kwa karibu miaka mitano kabla ya kutoa garo lenyewe. Wale Industrial designers wanaodesign external na interior features wanachukua miaka hiyo mitatu, lakini wale jamaa wa Automotive engineering huwa wanauslubisha sana design zao kabla hawaje-merge na industrial desinger. Ingawa ni kweli kuwa kulingana na soko inabidi watoe magaroi ya haraka haraka ya bei nafuu, lakini Toyota kamili ni gari kamili.

Ukipata Toyota Stout inauzwa nibeep haraka; usijali bei, mimi ninaitafuta sana.
Toyota Stout (Dume) kaitafute moshi!b kule migombani zipo za kutosha!! Na Rombo kule walikuwa wakizitumia kuingiza bia za magendo kutoka kenya miaka hiyo,ila baada ya biashara hiiyo kufa waliyapaki juu ya mawe,Kullaya &family walikuwa nayo si chini ya saba!! Kila mtoto wa kiume alimilikishwa lake akaletee guiness!akija mtoto wa dada nae anapewa lake!!
 
Stout ni dume la mapickup yote. Niliwahi kufanya kazi za kimafunzo (trainee) pale Toyota City-Nagoya, jamaa wanajua kusulubu gari kabla hawajaamua kuliingiza sokoni. Suspension, Geabox, differentials, ball joints, na engine zinazusulubiwa kweli kweli ndipo waseme sasa twuzipele sokoni. wenyewe wnakuambia kuwa Stout ndiyo iliyokuwa kipimo chao, kwani ile ilisuluiwa sana, na hivyo kuiweka kama benchamark hata baada ya kuistaafisha.
 
Back
Top Bottom