Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

TATIZO letu wanunuzi wa Magari na wauza spare parts kipindi cha nyuma wengi wetu tulikuwa tunatamani Magari mengine ila TATIZO la uhaba wa vipuri na gharama zake zinakuwa juu sana.

Sikuhizi kuna mipira(Magari) ya maana wabongo wamejilipua na wanatengeza bila matatizo
 
Mkuu naongea nikiwa najua ninachosema.......magari mengi yanayotoka Europe yanatengenezwa kwa market ya Europe.....taking into consideration hali ya hewa.....AC nyingi za BMW, VW zinafanya vizuri pale hali ya mazingira inapokuwa ya baridi.....lakini kwa hali ya mazingira yenye joto hazina capacity ya ku cool gari compared na gari zilizotengenezwa kwa market za Asia
Sina ubishi sana kwenye hili ila ninachojua ni kuwa swala la gari kuwa na AC nzuri au mbaya inategemea na mtengenezaji wa hiyo gari,kuna kampuni ambazo AC zake ni kali sana na wengine sio kali sana...
 
Bila shaka utakuwa ni mtu mwenye akili sana, upo proactive. Hakuna upumbavu sipendi kuusikia kama " ukinunua gari tofauti na toyota sijui utahangaika spea or sijui nini..." yani hadithi nyingii. Mbona wakenya wanamiliki magari mengi tu ambayo sio brand ya toyota na maisha yanaenda.?shida ya sisi wabongo ni woga, kura reactive kwa kila kitu.
Tangu nianze kununua magari, mpaka sasa nimeshanunua magari saba. But none of those was from Toyota! Mimi ni anti Toyota...
 
Gereji zipo nyingi sana. Sema labda umezoea kwenda za vichochoroni. Otherwise huwezi kukosa gereji ya kutengeneza gani hapa TZ, labda kama gari yako ni Tesla
Issue kubwa Ni upatikanaji wa mafundi na spare . Toyota kila Kona ya nchi mafundi na spare ziko kibao na Bei za matengenezo ndogo.Nunua Benz,BMW ,RangeLover nk uone mziki wake siku likileta tatizo mafundi taabu kuwapata spare taabu na gharama za kutengeneza za kufa mtu
 
Gereji zipo nyingi sana. Sema labda umezoea kwenda za vichochoroni. Otherwise huwezi kukosa gereji ya kutengeneza gani hapa TZ, labda kama gari yako ni Tesla
Siku ukisafiri na gari lako ambalo sio Toyota mikoani likikuharibikia ndio akili itakukaa sawa
 
siongelei ushabiki....ila kwa magari mengi niliyowahi kupanda, sijaona gari zenye AC nzuri na kipupwe cha maana kama Toyota na Nissan....

Hizi kampuni wanajitahidi sana kwenye AC za magari yao...unakula kipupwe kama upo Sheraton vile
Sina ubishi sana kwenye hili ila ninachojua ni kuwa swala la gari kuwa na AC nzuri au mbaya inategemea na mtengenezaji wa hiyo gari,kuna kampuni ambazo AC zake ni kali sana na wengine sio kali sana...
 
Hahahaha..daaaah.
Hawa ndo wabongo bana .Ukiwashinda kwa hoja wanakuanzishia matusi.
Shame on you great thinker.
Hahahaha...dah
Hawa ndo wabongo bana.....wanashindwa kuandika hoja wanaangalia wanaume wakishindana kwa hoja
Shame on you great thinker.....
Angalia huyo jamaa alichoakuwa ameandika kwamba yeye ametumia hiyo gari bongo na mbele...is that a justification ya kuwa hiyo gari iko sawa......hoja yangu ilikuwa magari ya Europe mara nyingi yanatengenezwa kwa market ya Europe waki consider hali ya hewa hivyo AC yake huwa haifanyi vizuri kwenye mazingira ya joto.......
 
Hakuna gari yenye AC nzuri kwa nchi yetu kama toyota na nissan

asiyetaka kukubali ajibebe
Hahahaha...dah
Hawa ndo wabongo bana.....wanashindwa kuandika hoja wanaangalia wanaume wakishindana kwa hoja
Shame on you great thinker.....
Angalia huyo jamaa alichoakuwa ameandika kwamba yeye ametumia hiyo gari bongo na mbele...is that a justification ya kuwa hiyo gari iko sawa......hoja yangu ilikuwa magari ya Europe mara nyingi yanatengenezwa kwa market ya Europe waki consider hali ya hewa hivyo AC yake huwa haifanyi vizuri kwenye mazingira ya joto.......
 
Tangu nianze kununua magari, mpaka sasa nimeshanunua magari saba. But none of those was from Toyota! Mimi ni anti Toyota...
Hakuna aliyewai kumiliki eurocars akadirik kuhamia toyo. Mi nimeshanunua benz e class na lexus gs300. Lakin nilipokuwa mkoa wa pembezon plug moja na bei yake ndogo ilinifungisha safar ya kampala nikatumia pesa nying. Lakin wauza vipuri mkijikita kwenye magar ya ulaya yako stable na imara. Hata km yote mawili nmeshayapak moja kwa ku knock na jingine control box.
 
Tangu nianze kununua magari, mpaka sasa nimeshanunua magari saba. But none of those was from Toyota! Mimi ni anti Toyota...
wewe kweli mikopo chefuchefu magari 7 aina moja au tofauti tofauti, Mahindra Kia, Zepha, Volkswagen na spea hazikukusumbua
duh basi hukai barabarani kila siku, maana km Kobe VW tairi zake hazipo kabiisa sijui size 17 hongera kwa kuikataa Toyota
 
Magari kichefu chefu... Sasa hivi napanga kununua Vitz ya kuzeeka nayo. Staki mbwembwe. Ujana ushaisha. Sasa hivi naangalia usafiri sio gari...
 
Miaka michache nyuma ilikuwa kila mtu akitaka kununua gari ni toyota
Ilifikia mahala mpaka zikawa kama utambulisho
Naona sasa watu wamebadirika wananunua magari tofauti
Now subaru zipo nyingi, mazda,nissan kuna wabishi wanaendesha mpaka smart
Toyota ni gari lililosukwa sana. Ukitembelea development center yao pale Toyota City, Nagoya Japan, utashangaa jinsi wanavyo lisubulisha gari kabla ya kulitoa. Wakati magari mengi yanatoka kila baada ya miaka mitatu, utashangaa kuwa ingawa Toyota nao wanatoa baada ya miaka mitatu, ukweli ni kuwa sehemu nyeti za gari wanaziatathmini kwa karibu miaka mitano kabla ya kutoa gari lenyewe. Wale Industrial designers wanaodesign external na interior features wanachukua miaka hiyo mitatu, lakini wale jamaa wa Automotive engineering huwa wanasulubisha sana design zao kabla hawaje-merge na industrial desinger. Ingawa ni kweli kuwa kulingana na soko inabidi watoe magari ya haraka haraka ya bei nafuu, lakini Toyota kamili ni gari kamili.

Ukipata Toyota Stout inauzwa nibeep haraka; usijali bei, mimi ninaitafuta sana.
 
Miaka michache nyuma ilikuwa kila mtu akitaka kununua gari ni toyota
Ilifikia mahala mpaka zikawa kama utambulisho
Naona sasa watu wamebadirika wananunua magari tofauti
Now subaru zipo nyingi, mazda,nissan kuna wabishi wanaendesha mpaka smart
Halafu ukiuliza reasons behind wanakwambia vipuri upatikanaji wake n rahisi wabasahau tuko ki-digital zaidi,,,,,,machine imesumbua unaagiza kifaa japan
 
Back
Top Bottom