Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

Kasumba ya gari ni Toyota naona sasa Tanzania imeanza kuisha

Attachments

  • avon-epic-bicycle-20t-for-6-to-10-year-kid-500x500.jpg
    avon-epic-bicycle-20t-for-6-to-10-year-kid-500x500.jpg
    21.6 KB · Views: 45
Naona ushashindwa hoja. Siku ingine usilete Stori za vijiweni
Hoja haitetewi kwa kusema umeshatumia magari nje na ndani ya nchi......unaweza kuwa umetumia nje lakini Europe ama Tanzania lakini Iringa.....angalia hata kwenye forums za VW tourage utaona ninachosema.......
 
Issue kubwa Ni upatikanaji wa mafundi na spare . Toyota kila Kona ya nchi mafundi na spare ziko kibao na Bei za matengenezo ndogo.Nunua Benz,BMW ,RangeLover nk uone mziki wake siku likileta tatizo mafundi taabu kuwapata spare taabu na gharama za kutengeneza za kufa mtu
 
Haya unayoongelea mkuu
Hao mafundi wake wanavaa koti jeupe na gloves vidole kwenye laptop hahaha
Itakuja wakati zitakuwa kama vintage hizo zenye mfumo wa kizamani
 
Back
Top Bottom