Kaswende na Gono noma

Hata Staphylococci pia wnweza kuwasababishia UTI hasa wadada wanaoosha tupu zao kwa sabuni zenye kemikali ili ukondoa harufu ukeni hali inayopelekea kuua bacteria walinzi(Normal flora) hivo hupatwa na hilo jambo kila wakati wadada acheni Douch...mtapata kansa.
 
Hatari sana
 
Sasa hivi sitii mtu, nimekaa bench kitambo sana.. Kama kutia nitatia mama mtu mzima, anae ogopa kufa ila hivi vibinti havina hofu ya kufa, na kwanza vinataka kufa na wengi
Nyuzi kama hizi ndiyo mahali pako
 
Mbona hamtuambii dalili za gono kwa wanawake ili tuwe aware nao..
Sio rahisi kujua dalili za moja kwa moja za gono kwa mwanamke labda aseme mwenyewe how she feels or see...lakini kwamwamke dalili hizi ni miongoni mwa dalili za magonjwa ya zinaa
1.Kutokwa na uchafu mweupe(Candinda or fungus?) au wa njano wenye hafuru kama ya shombo ya samaki ile kali...kiasi cha kuchafua hadi chupi.
2.Kuwashwa sehemu za siri hasa kwa ndani na kupoteza utulivu kabisa.
3.Kupata maumivu chini ya kitovu/wakati wa kusex au kutokwa damu muda mfupi baada ya sex au wakati wa sex.
4.Kupata Pelvic pain(Maumivu ya nyonga) hasa kwa mabinti ambao bado hawajawahi kuzaa.
Na nyinginezo watajazia ila kuu ndo hizo...Lakini kumtambua huwezi hadi ukuvulie au akwambie mwenyewe
 
Kumbe hii kitu ina chanjo pia
 
Sio kama mafua,yaan hata wao wanaamin ni magonjwa hatar,ila wanaamin kama hujawah kuyaugua ina maana wewe ni mwoga sana na mbususu hujazila vya kutosha
Kwani ni mashindano kula mbususu wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…