Gono sio ugonjwa mzuri nimewahi pata zaidi ya mara moja na sasa nipo aware sana..Dawa yake ni sindano pamoja na vidonge.Dosage yake ipo hivi
Powercef(Ceftriaxone)au Cefotoxine injection+,Flagil(metronidazole)+Doxy
Matumizi yake...Anza kuchoma sindano wakati unatumia Metro then baada ya sindano kumaliza tumia doxy
NB: #Zipo aina nyingi za kupanga hiyo dose kadir daktar atakavoshauri.
#Usiache kumaliza dose mfano Doxy hata kama utaona umepona maana Gonorhea inaambatana na Chlamydia ambapo hawa bacteria huwa hawafi kwa hiyo sindano ila Doxy
#Usiache kutmia flagyl kwakuwa Gono linawezaingia na ndugu yake anaeitwa Trichomonas vaginalis.
#Tumia dose na mwenza wako hata kama uliupata sehemu nyingine na ulishare nae before dalili hazijaanza maana utakuwa umemwachia so kutibiwa kwa siri haitasaidia maana utalichukua tena kwa mkeo.