Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Tajeni dawa basi ambazo mtu akishapata hiyo makitu atumie kwa faida ya wote.
Mzee kitu ukiona tayari, wahi hospital usichelewe mto daktari hata mawe akutibu. Maana siku hizi wanakomaa uende na alie kupa gonjwa, sasa na wewe unakuta alie kupa mlimalizana nae usiku huna namba hujui anapo ishi. Ingawa Azuma inatibu pia kama ni gono junior ila kama gono senior lazima hadi masindano yahusike na drip ikiwezekanaa..
 
Shida ya hayo magonjwa, unaonekana mchafu katika upigaji wake, magonjwa ya aibu kabisa, ila ni kwamba hayaonekani kwa watoto wa kike haraka, unaweza kula pisi kali baraa ila kumbe tayari anayo.. Hata hospital utataka utibiwe kimagendo magendo kama una mwenza asijue taabu sana
Usisahau kuwa kuna homa ya ini haionekani kwa macho pia Ata kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom