National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Mzee kitu ukiona tayari, wahi hospital usichelewe mto daktari hata mawe akutibu. Maana siku hizi wanakomaa uende na alie kupa gonjwa, sasa na wewe unakuta alie kupa mlimalizana nae usiku huna namba hujui anapo ishi. Ingawa Azuma inatibu pia kama ni gono junior ila kama gono senior lazima hadi masindano yahusike na drip ikiwezekanaa..Tajeni dawa basi ambazo mtu akishapata hiyo makitu atumie kwa faida ya wote.