Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Sasa hivi sitii mtu, nimekaa bench kitambo sana.. Kama kutia nitatia mama mtu mzima, anae ogopa kufa ila hivi vibinti havina hofu ya kufa, na kwanza vinataka kufa na wengi
Hivi vibinti vya 2000s haviogopi ukimwi sbb wamekuta tayari dawa zipo waathirika wananawiri tu
Wangezaliwa kipindi kile mtu akiupata anapitia stage zote za mateso wangekuwa na woga kidg
 
Hivi vibinti vya 2000s haviogopi ukimwi sbb wamekuta tayari dawa zipo waathirika wananawiri tu
Wangezaliwa kipindi kile mtu akiupata anapitia stage zote za mateso wangekuwa na woga kidg
Wamechanganyikiwa, sasa hivi kutia vitoto ni kutafuta magonjwa, vina mtandao mpana sana wa ngono
 
Mzuka Wanajamvi!

Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.

Tujiepusheni na ngono zembe!
Sina mzuka.Kwa hiyo mnachunguliana mmoja akiwa anakojoa?
 
Gono sio ugonjwa mzuri nimewahi pata zaidi ya mara moja na sasa nipo aware sana..Dawa yake ni sindano pamoja na vidonge.Dosage yake ipo hivi
Powercef(Ceftriaxone)au Cefotoxine injection+,Flagil(metronidazole)+Doxy
Matumizi yake...Anza kuchoma sindano wakati unatumia Metro then baada ya sindano kumaliza tumia doxy
NB: #Zipo aina nyingi za kupanga hiyo dose kadir daktar atakavoshauri.
#Usiache kumaliza dose mfano Doxy hata kama utaona umepona maana Gonorhea inaambatana na Chlamydia ambapo hawa bacteria huwa hawafi kwa hiyo sindano ila Doxy
#Usiache kutmia flagyl kwakuwa Gono linawezaingia na ndugu yake anaeitwa Trichomonas vaginalis.
#Tumia dose na mwenza wako hata kama uliupata sehemu nyingine na ulishare nae before dalili hazijaanza maana utakuwa umemwachia so kutibiwa kwa siri haitasaidia maana utalichukua tena kwa mkeo.
 
Back
Top Bottom