Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hongera lemaMuda wa porojo umekwisha , sasa hivi tunaweka vielelezo tu ili kila mtu atoe maoni yake mwenyewe
Sijui CCM inawezaje kushinda uchaguzi huu , tuombe Mungu tufike salama tarehe ya uchaguzi
View attachment 1600248View attachment 1600249View attachment 1600250
Ni taarifa tuSasa hapo nini cha ajabu mkuu?
kama kushika kooni ndio hivi basi ni balaa !Gsmbo kamshika kooni zile kampeni zake za kuwambia watu wazima masela huku hakuna anachofanya wameshazishitukia
Tangulia Burundi...Huyu akauze tena magari ya wizi maana hata pata hata kura 10 mbele ya Gambo
Tangulia Burundi...Huyu akauze tena magari ya wizi maana hata pata hata kura 10 mbele ya Gambo
Ila mkuu historia ya lissu si waifaham vizuri,siku zote ushindi wake upasua katikati ya ngome ya adui,Wabunge wa chadema mpaka sasa hivi ni hawa wafuatao..
1. Mester matiko
2. Sugu
3. Lema
4. Mdee kwa mbaali
Wengine waliobaki ni tii maji tia maji,
Najiuliza Lisu atashinda vipi?
*Ahadi kumi za Mwana TANU* 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma. 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa, na dhuluma hapa nchini na duniani pote. 4. Rushwa ni adui wa haki, sitatatoa wala kupokea Rushwa. 5. Cheo ni dhamana . sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu. 6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote. 7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu na dunia yenye haki na amani. 8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko. 9. Nitakuwa raia mwema wa Tanzania, Afrika na Dunia nzima. 10. Nitakuwa mtii kwa Raisi na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Huyu akauze tena magari ya wizi maana hata pata hata kura 10 mbele ya Gambo