- Thread starter
- #21
Ww uliosoma una nini...vijana kibao wana degree tena za ualimu na zingenezo wako mtaani wanaendesha bodaboda tu...
Najua hayo ndio maana nasema wafadhili wajenge viwanda ili vijana wetu wapate ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww uliosoma una nini...vijana kibao wana degree tena za ualimu na zingenezo wako mtaani wanaendesha bodaboda tu...
Unachapana na Binaadamu mwenzio kisa dini??!! Upumbavu wa namna gani huo?!!Mkileta udini lazima tuchapane ili muwe na adam watoto wa papa.
Acha wajenge mkuu mbona mbeya kila kona kanisa hata la makuti.habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Dini hata wewe kuandamana kisa siasi ni upumbavu ...Kunufaisha wajinga wachache wajenge mahekalu.Unachapana na Binaadamu mwenzio kisa dini??!! Upumbavu wa namna gani huo?!!
Sijawahi kuwa muumini wa kuamini wanaharakati wa mitandaoni hususani wanaohamasisha maandamano. Huwa najitahidi kadiri iwezekanavyo kujiweka mbali na upumbavu wa namna yeyote ileDini hata wewe kuandamana kisa siasi ni upumbavu ...Kunufaisha wajinga wachache wajenge mahekalu.
Halafu wewe njaa kali.
Hiyo shuka ni sanda, kitanda ni kaburi...... mmmmmm mmmmm mmmm #@@####$$#@@$#$$##/<>+[×&$*%&=&= zao wase%#@@÷///$/<<$#@ sanaNawaza tu huko Tambani sijui ikifika saa 10 alfajiri hayo makele inakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuwa muumini wa kuamini wanaharakati wa mitandaoni hususani wanaohamasisha maandamano. Huwa najitahidi kadiri iwezekanavyo kujiweka mbali na upumbavu wa namna yeyote ile
anyway, sielewi hata unazungumzia nini tena.Soma hapo china , serikali ndio wapo mstari wa mbele ,usiwe kolo kaa chini usome serikali zote duniani zipo kipaumbele kweny maendeleo ya viwanda kuunga mkono mapinduzi ya viwanda....Hakuna mtu anajenga viwanda kwenu umeme wa kukonyeza ni hasara
.
Kaanza na serikali yako kama unatumia akili
.
View attachment 2880301
The same kwa makanisahabari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Boko haram.habari wadau.

Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Hili hoja kama Ina ukweli wake...waswahili bwana..sio mbaya unakula unapofanyia kaziHakuna sehemu waaarabu wanaibiwa na waswahili matapeli waislamu kama kwenye ujenzi wa misikiti
Mwarabu tajiri yeyote ukisema unaomba Hela ya ujenzi wa msikiti au madrasa anakuona wewe ndie mwislamu Bora mno anatoa Pesa chapchap
Waswahili wanswapiga kwenye kuanzia gharama za ununuzi wa kiwanja Hadi ujenzi.Msikiti utajengwa ila hizo gharama zake utakaa Chini.Na Kwa kuwa waarabu Wana Pesa nyingi wanachojali madrasa au msikiti umejengwa basi
ndo manake JWTZ limemwambia mama SAMIA kwamba kuna viashiria vya ugaidi!!habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Nyerere aliuwa viwanda gani?Sasa hapa utajua kwamba hakuna mtu anachangishwa wanatoa wao ...Kujenga msikitini kwa kujitolea ni jihad ... Waislamu hawawezi kukusanya pesa kutoka kwa maskini wajenge bali kuna ufadhili...Hao wanaojenga msikitini ni kama nyumba yaani hamna utaalamu zaidi ya waumini kwenda kufanya ibada.
Ndoto ya viwanda sio rahisi kama mtoa mada anavyodai ni mawazo ya kushindwa ...Kama viwanda tungeanza kuwalaumu wasomi wale wa elimu ya mzungu wameganda huko serikalin hawana cha maana...
Kujenga kiwanda sio rahisi ,Dangote kajenga kiwanda sio rahisi kama wanavyodhani kama Nyerere aliua viwanda kwa ujinga wake wa elimu ya mchongo .
Tambani sio Mbagala, Tambani ni sehemu ya wilaya ya Mkuranga. Mbagala inaishia Charambe. Chamazi wala Mbande sio Mbagala pia, ila ni sehemu ya wilaya ya Temeke.habari wadau.