Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Acha wajenge mkuu mbona mbeya kila kona kanisa hata la makuti.
Viwanda kafadhili wewe ukipenda
 
Dini hata wewe kuandamana kisa siasi ni upumbavu ...Kunufaisha wajinga wachache wajenge mahekalu.

Halafu wewe njaa kali.
Sijawahi kuwa muumini wa kuamini wanaharakati wa mitandaoni hususani wanaohamasisha maandamano. Huwa najitahidi kadiri iwezekanavyo kujiweka mbali na upumbavu wa namna yeyote ile
 
Ni wapuuzi, wanadhani ipo siku wataisilimisha tanzania. Wamekazana kujenga misikiti mpaka porini kando ya barabara kuu. Hiyo misikiti itafika wakati itakosa wa kuswali na kugeuka kuwa makazi ya popo na wadudu wengine
 
Sijawahi kuwa muumini wa kuamini wanaharakati wa mitandaoni hususani wanaohamasisha maandamano. Huwa najitahidi kadiri iwezekanavyo kujiweka mbali na upumbavu wa namna yeyote ile

Soma hapo china , serikali ndio wapo mstari wa mbele ,usiwe kolo kaa chini usome serikali zote duniani zipo kipaumbele kweny maendeleo ya viwanda kuunga mkono mapinduzi ya viwanda....Hakuna mtu anajenga viwanda kwenu umeme wa kukonyeza ni hasara
.

Kaanza na serikali yako kama unatumia akili
.
 
Waarabu wa mikindani leo watakufunza jambo ngoja wafike ....... huwezi gusa server zao wakuache
 
anyway, sielewi hata unazungumzia nini tena.
 
The same kwa makanisa

We have become a good shamba pa kuvuna utii wa kusadiki na sio maisha yenye ustawi
 
Misikiti kama yote halafu hamna hata chanzo kimoja cha mandeleo au kuwatoa katika umaskini halafu dini nyingine wakijenga utasikia ooh wanapendelewa ilhali mnazingua wenyewe
 
Boko haram.
 
Nikusahihishe. Kiwanda siyo kazi ya wafadhili. Ni matokeo ya ukuaji wa uchumi (internal economic growth). Hayo ya kuja kujengewa na wafadhili ni kama yale mliyojengewa na wafadhili miaka ya 70 leo yako wapi? yote yamekufa. Watanzania tuache kutamani uchumi feki, uchumi halisi ni ule wa kwako halisi. Hata katika level ya familia kuna tatizo kubwa snaa tunaishi uchumi wa kuigiza mwishowe tunakufa na madeni
 
Hili hoja kama Ina ukweli wake...waswahili bwana..sio mbaya unakula unapofanyia kazi
 
Nikusahihishe. Kiwanda siyo kazi ya wafadhili. Ni matokeo ya ukuaji wa uchumi (internal economic growth). Hayo ya kuja kujengewa na wafadhili ni kama yale mliyojengewa na wafadhili miaka ya 70 leo yako wapi? yote yamekufa. Watanzania tuache kutamani uchumi feki, uchumi halisi ni ule wa kwako halisi. Hata katika level ya familia kuna tatizo kubwa snaa tunaishi uchumi wa kuigiza mwishowe tunakufa na madeni
 
ndo manake JWTZ limemwambia mama SAMIA kwamba kuna viashiria vya ugaidi!!
 
Nyerere aliuwa viwanda gani?
Una umri gani?
 
Tambani sio Mbagala, Tambani ni sehemu ya wilaya ya Mkuranga. Mbagala inaishia Charambe. Chamazi wala Mbande sio Mbagala pia, ila ni sehemu ya wilaya ya Temeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…