Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Kwanza sio kweli TA
Hizo zote ni chuki dhidi ya uislamu, huwa hamna jema
1. Mara waislamu hawasomi wanaendekeza madrasa

2. Mara UDOM ina Udini (uislamu) sana;

3. Mara Bakhressa ana ajili waislamu tu

nk nk nk

Mbona madai yenu yanakinzana??

Waislamu wakiwa wasomi mnalialia wanaajiriwa wao

Wasiosoma ni kelele 😂😂
 
Elimu nj ya mkoloni ,dini ni ya mkoloni ,una hagua kipi,ukiumwa unaenda msikitoni au hospitalini
Vitu viwili tofauti huduma zote ni muhimu ...Ukitaka kusoma unaenda shule ,kuumwa hospital , kufanya ibada kweny nymba za ibada.


Kama hauna imani basi hata hospital wengine hawaendi wanazo dawa za asili.
 
Vyerehani vinne ni sawa na misikiti mingapi?
 
Hata wakaoloni walitumia dini kutuzoofisha kiakili, nahisi mpaka Leo bado Ina tubrain wash watu wengi sana
 
Hakuna sehemu inaitwa Mbagala Mbande. Hayo ni maeneo mawili tofauti kabisa. Azam Complex iko Mbande sio Mbagala.
 
Viwanda kazi ya sirikali sio ya hao wajenga miskiti
Kwani idadi ya miskiti hio ni billion ngapi na inajenga viwanda vingapi kwapamoja?
Mwisho utakula wafadhili zaidi ya watano wamejenga hizo nyumba za ibada
Serikali haijengi viwanda, bali inaweka mazingira mazuri kisera na kisheria ili secta binafsi, ambayo ni mimi na wewe ndio tunaotakiwa kujenga viwanda.
Kutumia muda mwingi kuwahimiza watu waabudu tu bila kuzalisha, ni kuwafanya watu kuwa mambumbu na kutokuendelea kiuchumi.
 
Itakuwa kwako ni ajira, ila jitahidi kutumia hizi mvua vizuri kwa kilimo.
 
Huwezi juwa mkuu. DINI BIASHARA SIKU HIZI. MECCA TU WANAINGIZA MAMILIONI YA DOLA TOKA KWA MAHUJAJI!
DUNIA INA MAMBO WAJAMENI...
 
Labda wananchi ndo wameomba hitaji lao, na sio vinginevyoo
Ingekuwa kwa wachagga wangeomba nini?
Ingekuwa kwa wahaya wangeomba nini?
Ingekuwa wagogo wangeomba nini?
Ingekuwa wanyakyusa wangeomba nini?
etc
acha hizo Lovebird kuna universal needs one of them is education! particularly in modern era of today! Wote uliowataja need education. hao bado wako kwenye usingizi tu wa dini.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…