fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Huu pia ni umbavu kama wa mbagalaAcha wajenge mkuu mbona mbeya kila kona kanisa hata la makuti.
Viwanda kafadhili wewe ukipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu pia ni umbavu kama wa mbagalaAcha wajenge mkuu mbona mbeya kila kona kanisa hata la makuti.
Viwanda kafadhili wewe ukipenda
Kwanza sio kweli TAhabari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Hizo zote ni chuki dhidi ya uislamu, huwa hamna jemahabari wadau.

Vitu viwili tofauti huduma zote ni muhimu ...Ukitaka kusoma unaenda shule ,kuumwa hospital , kufanya ibada kweny nymba za ibada.Elimu nj ya mkoloni ,dini ni ya mkoloni ,una hagua kipi,ukiumwa unaenda msikitoni au hospitalini
Mbona hamjawahi kushusha thread hapa ila thread za misikiti zipo kibaoHuu pia ni umbavu kama wa mbagala
Vyerehani vinne ni sawa na misikiti mingapi?Kwanza kabla ya kuongea na wafadhili ilitakiwa uongee na sirikali kwanza
Hayo maji huko tambani yapo yakutosha mpaka ufadhili wa visima usiwe na tija
Pia hio miskiti kwa pamoja inafikia bei ama gharama ya kiwanda kimoja yaani kimoja tu?
Pia watu wanaojitolea ama wafadhili wameamua kutoa wanachoona wanakiweza ama kina faida kwao iwe mskiti ama kanisa
Mwisho wakazi watambani sio waislam watupu
🤣🤣🤣 ndio akili zenu zilipogomea hapa maskini dahVyerehani vimne ni sawa na misikiti mingapi?
Ni kweli, akili imegota mdiyo maana nimeuliza. Utatoa hutoi?🤣🤣🤣 ndio akili zenu zilipogomea hapa maskini dah
Poleni vijana 🤣😀😂Ni kweli, akili imegota mdiyo maana nimeuliza. Utatoa hutoi?
Gaidi mbona kama akili yako imeathiriwa na ahadi ya mifereji ya pombe na ku.ma 72Kiongoz mbona Kama akili yako imeathiriwa na mafuriko?.
Hakuna sehemu inaitwa Mbagala Mbande. Hayo ni maeneo mawili tofauti kabisa. Azam Complex iko Mbande sio Mbagala.habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Serikali haijengi viwanda, bali inaweka mazingira mazuri kisera na kisheria ili secta binafsi, ambayo ni mimi na wewe ndio tunaotakiwa kujenga viwanda.Viwanda kazi ya sirikali sio ya hao wajenga miskiti
Kwani idadi ya miskiti hio ni billion ngapi na inajenga viwanda vingapi kwapamoja?
Mwisho utakula wafadhili zaidi ya watano wamejenga hizo nyumba za ibada
Itakuwa kwako ni ajira, ila jitahidi kutumia hizi mvua vizuri kwa kilimo.mimi Naishi Kwa Kula Ibada Simply Ibada Kwa Mujibu Wa Uislamu Ni Kitu Chochote Kinachompendeza Mungu Hata Kazi Halal Ni Ibada.Kama Unaongelea Kuswal Bas Kuswal Msikitin Hakumalizi Hata Dakika 10 Tunatoka.Kama Kuswal Ni Umaskin Bas Waislamu Weng Wangekuwa Maskini Lakini Ni Vice Versa Hata Kwenye List Ya Matajir Tanzania Waislamu Ndo Wanaongoza Kariakoo,mnazi,oysterbay Kumejaa Matajiri Wengi Waislamu Na Wanaswal
Huwezi juwa mkuu. DINI BIASHARA SIKU HIZI. MECCA TU WANAINGIZA MAMILIONI YA DOLA TOKA KWA MAHUJAJI!habari wadau.
Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.
kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,
kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?
najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?
kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.
Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Mbona hao waafrika wasiokua na dini hakuna cha maana wanafanyaZilikuwa designed ku suppress thinking za mtu mweusi. Na walifanikiwa wamefanikiwa sana
Graduate wa madrasa ktk ubora wakokiwanda kajenge wewe
naunga mkono hoja
acha hizo Lovebird kuna universal needs one of them is education! particularly in modern era of today! Wote uliowataja need education. hao bado wako kwenye usingizi tu wa dini.......Labda wananchi ndo wameomba hitaji lao, na sio vinginevyoo
Ingekuwa kwa wachagga wangeomba nini?
Ingekuwa kwa wahaya wangeomba nini?
Ingekuwa wagogo wangeomba nini?
Ingekuwa wanyakyusa wangeomba nini?
etc