Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini
Hivi bado haujagundua kwamba baadhi ya misikiti siku hizi ni viwanda?
 
Unatafuta vita na watoto wa mnyaazi "mungu" utaiweza 🤔🤔
 
Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.
Misikiti baadhi ni viwanda ingia ndani ujionee vizuri narudia ingia ndani utakuta karakana inapiga kazi ya kusaga viroba vya mahindi
 
Sasa hapa utajua kwamba hakuna mtu anachangishwa wanatoa wao ...Kujenga msikitini kwa kujitolea ni jihad ... Waislamu hawawezi kukusanya pesa kutoka kwa maskini wajenge bali kuna ufadhili...Hao wanaojenga msikitini ni kama nyumba yaani hamna utaalamu zaidi ya waumini kwenda kufanya ibada.

Ndoto ya viwanda sio rahisi kama mtoa mada anavyodai ni mawazo ya kushindwa ...Kama viwanda tungeanza kuwalaumu wasomi wale wa elimu ya mzungu wameganda huko serikalin hawana cha maana...

Kujenga kiwanda sio rahisi ,Dangote kajenga kiwanda sio rahisi kama wanavyodhani kama Nyerere aliua viwanda kwa ujinga wake wa elimu ya mchongo .
Mkuu,
Usiendelee kubishana, unajivua nguo. Yaani umekubali kuwa jamii ya waislam hawatumii akili ndio maana unasema kujenga kiwanda sio rahisi ni bora kujenga misikiti kweli?
 
Itakuwa kwako ni ajira, ila jitahidi kutumia hizi mvua vizuri kwa kilimo.
Serikali haijengi viwanda, bali inaweka mazingira mazuri kisera na kisheria ili secta binafsi, ambayo ni mimi na wewe ndio tunaotakiwa kujenga viwanda.
Kutumia muda mwingi kuwahimiza watu waabudu tu bila kuzalisha, ni kuwafanya watu kuwa mambumbu na kutokuendelea kiuchumi.
Umbumbumbu ni wenu wenyewe tu mzee wala hakuhusiani na kuabudu eidha kwa waislam wakristo ama wowote wale
Unadhani nyie muna miskiti mingi sana kuliko iraq Jordan Syria kuwait saudia nk
Haya tuambie hao huko hawaabudu kuzidi nyie na mmewazidi kipi hao walojaza miskiti huko kwao
Nyie mloaminishwa kama kumiliki cherehani unamiliki kiwanda nyie ndio mnategemea nini
Ibada ama kuabudu hakuhusiani lolote na kufaulu ama kufeli nyie mnafeli kwa ujinga tu wenu wenyewe wala sio miskiti
Hem google nchi yenye miskiti mingi zaidi duniani halaf uilinganishe na nchi yako uone hio distance mlopeana kwenye mafanikio
 
Tambani sio Mbagala.

Tambani ni Kijiji, kata na Tarafa wilaya ya Mkuranga.

Kata ya Tambani imepakana na kata ya Chamazi wilaya ya Temeke, Kata ya Msongola wilaya ya Ilala kwa upande wa Kaskazini.

Sasa hii misikiti umeanzia kuihesabia wapi?

1.Mkoga
2.Kimbangulile
3.Mlamleni
4.Tambani
5.Mwanadilatu
6.Mipeko
 
Mkuu,
Usiendelee kubishana, unajivua nguo. Yaani umekubali kuwa jamii ya waislam hawatumii akili ndio maana unasema kujenga kiwanda sio rahisi ni bora kujenga misikiti kweli?
Sasa si mjenge nyie 😆😆kuna ulazima gani hao jamaa si wanajitolea kwa nafsi zao...Mbona Bakhresa na Mo ndio weny viwanda kushinda hawa wafuasi wa papa.

Kujenga msikitini kama kusaidia watu ,kutoa zaka na sadaka haina return...
 
habari wadau.

Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine.

kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu wasome vizuri wazalishe Ma engineer, Madaktari na wataalamu wa fani mbali mbali,

kinachonishangaza pia kwa nini wafadhili hao hawajajenga kiwanda hata kimoja ili waislamu ama raia wa TAMBANI wapate ajira waache kushinda vijiweni bila kazi waondokane na umaskini

KWA NINI MSAADA UWE KUONGEZA NYUMBA ZA IBADA TU ?

najiuliza wafadhili hao kwa nini wasijenge hata chuo cha ufundi ama cha teknolojia hata kimoja ili watu wa TAMBANI wapate mafunzo ya kitaalamu wajikomboe kiuchumi ?

kujenga misikiti sio jambo baya , ni jambo zuri kufadhili kuwajengea wananchi sehemu za kuabudia. ila nimeshangaa sana why msaada uwe kujenga misikiti tu na kuchimba visima vya kutawazia.

Tunapaswa tuwaambie wafadhili adui wetu mkubwa ni Ujinga, Maradhi na Umaskini. Vitu vya kupambana ma hawa maadui watatu ndio wanapaswa kutujengea kwa wingi.

Kutujengea Shule, zahanati na viwanda ndio ufadhili wa kweli.

Kiwanda kimoja kinafuta umaskini wa watu wengi.. kuliko kujenga nyumba za ibada kila mtaa huku waumini wanazo sehemu za kusali tayari
Baada ya kujenga hiyo misikiti hali ya uchumi kwenye kata hiyo imeinuka sana na wananchi wamebadilika kiuchumi, hivi sasa wanakula milo mitatu kwa siku jambo ambalo halikuwezekana kabla.
 
Umbumbumbu ni wenu wenyewe tu mzee wala hakuhusiani na kuabudu eidha kwa waislam wakristo ama wowote wale
Unadhani nyie muna miskiti mingi sana kuliko iraq Jordan Syria kuwait saudia nk
Haya tuambie hao huko hawaabudu kuzidi nyie na mmewazidi kipi hao walojaza miskiti huko kwao
Nyie mloaminishwa kama kumiliki cherehani unamiliki kiwanda nyie ndio mnategemea nini
Ibada ama kuabudu hakuhusiani lolote na kufaulu ama kufeli nyie mnafeli kwa ujinga tu wenu wenyewe wala sio miskiti
Hem google nchi yenye miskiti mingi zaidi duniani halaf uilinganishe na nchi yako uone hio distance mlopeana kwenye mafanikio
Huyo unayemuabudu anaishi wapi, na ana sura gani, ana jinsia ipi, na ulishawahi kumuona wapi?
 
Hospitali hawataki kujenga wanajidanganya na dawa za kienyeji wanazoziuza nje ya nyumba zao za ibada. Wanaita za Kisuna

Kwa kuwa ni za kienyeji zisizo na vipimo halisi wakishanfumua Moyo na figo wanakwenda tena hospitali za wakristu kupata huduma
 
Usiwapangie watu na pesa zao, ipi bora misikiti ya Mwenyezi Mungu au kiwanda?

Aisee kuna watu mnachuki sana na uislamu, pole sana.

Na utambue jiji la Darussalaam ni jiji la Waislamu, so kama unaishi dar hama!
Jiji la waislam lenye mabango ya kitimoto kila Kona au nyie ndio walaji?
 
Hakuna sehemu waaarabu wanaibiwa na waswahili matapeli waislamu kama kwenye ujenzi wa misikiti

Mwarabu tajiri yeyote ukisema unaomba Hela ya ujenzi wa msikiti au madrasa anakuona wewe ndie mwislamu Bora mno anatoa Pesa chapchap

Waswahili wanshawapiga kwenye kuanzia gharama za ununuzi wa kiwanja Hadi ujenzi.Msikiti utajengwa ila hizo gharama zake utakaa Chini.Na Kwa kuwa waarabu Wana Pesa nyingi wanachojali madrasa au msikiti umejengwa basi
Kufa kufaana....
 
Wazo zuli sana. Kwa mfano kila eneo moja baada ya lengine kuwe na mafunzo kwa vitendo(ufundi stad)
Hakika hata mayunda ya imani yataonekana....
 
Wewe vingapi usivyo viona na bado unaviamini?
Nikukumbushe tu marekani kuna miskiti mingi kuliko Tanzania 😀
Lengo la imani, ni kuwafanya watu wawe mambumbu na wasifikiri wala kuhoji; ikumbukwe pia hii ni biashara ya watu; kuwaaminisha watu vinavyosadikika ili wapige hela pamoja na kutimiza malengo yao.
 
Back
Top Bottom