Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Kuna mmoja ni mpwa wangu kabisa mtoto wa dada yangu nimemuambia sitampigia simu kabisa, sitaki shida na taabu, maadamu yu hai abaki hukohuko kazini kwake, simu ya taarifa muhimu atapigiwa na wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ki sqikolojia ya mitaani, mtu wenye urafiki sana na mapolisi huwa ana siri za kiuhalifu. Aidha wao p9lisi na huyo rafiki yake, ni wahalifu na wanafahamiana vilivyo. Au mmoja wao, raia, ni "informer" ambae anatumiwa na polisi.
Sqikolonia [emoji777] Saikolojia [emoji736].
P9lisi [emoji777] Polisi [emoji736]

Ulienda shuleni kusomea ujinga?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Umeelewa ulichokiandika au ndio ilikuwa papara ya kujionyesha kuwa wewe unajua hasa kuchezea nyoka.
Sio kucheza na nyoka inaeleweka chatu hana sumu ndio maana namna yake ya kupata msosi ni kupitia constriction tofauti na venomous snakes ambao wanatumia ku-inject venom kwenye windo mawindo yao.Kilaza kama wewe huyajui hayo,hata nyoka wana akili kuliko wewe
 
Tupunguze kuhubir chuki
Polis wabaya wapo na wazuri wapo adui yangu sio mpaka awe adui yako,

Kila kada au kila fani ina watu wa aina hiyo
Hata tukija hospital wapo madr wazur na wapo magaid ila ji madr


Ofisin kwako pia utakubaliana na mimi wapp watu wabaya ambao huwezi hata kumueleza jambo ila katikati yao wapo binadamu poa sana
 
Hata mimi nanga mkono hoja lakini kwa mtu mwenye akiri timamu hawezi kujumuisha askari wote kwamba ni wabaya japo kuwa mimi ninaunga mkono kwa baadhi ya Polisi ambao ni wala rushwa,waonevu,wanaotumia nafasi zao vibaya na kudhurumu haki za wasio na hatia.
Tatizo limeanzia katika jamii ambako kwasasa mmomonyoko wa kimaadili umetamalaki.
Ingawa wakati mwingine wapo wahalifu ambao nao eti wanawachukia Polisi kwasababu wanawazuia wasifanye uhalifu wao nadhani hawa nao siwaungi mkono waache wawachukie Polisi na Polisi wawachukie wahalifu jibu sahihi ni wachukiane.
 
Naunga mkono hoja ukiwa mnyonge ndio wanakunyoosha. Fanya kama ya hamza ikiwezekana ili kuweka heshima.
Kuna watu nawajua wameshapigan na trafic barabaran mwish wa siku wanawekwa ndan na kupelekwa mahakaman na kupigwa faini ila baada ya apo heshim inafuata mkondo wake siku nyengin ata amkute na kosa gan hamulizi kitu
 
Polisi ni watu wa kuogopwa sana kaka huna hela ya kueleweka, usijenge urafiki nao,
Anyway binafsi siwapendi sana polisi
 
Hawa ni mbwa wakiambiwa shika wanashika wakiambiwa acha wanaacha.Kiufipi polisi wote ni mbwa hawafai hata kwakurumagia.

Hata polisi wakike awe na sura nzuri kiasi gani au tako kiasi gani sigongi.
hawa mbwa takataka.
Mimi nagonga liwalo na liwe, naachaje sasa tako laini
 
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Je mfanyabiashara ya madini alikwiba nini labda?
 
Polisi ni binadam kama watu wa kada nyingine kuna wabaya na wazuri kuna bongo lala na wenye akili nzuri
Nawajua baadhi askari wenye uweledi wa hali ya juu
Kwan nyie hamjawahi kutanana na TPDF mshamba na ni mjinga?
 
Mimi nagonga liwalo na liwe, naachaje sasa tako laini
Jichunge sana, wakati wa kuutupa au kusimamia kucha wengine si mnalewaga kama pombe, unakojoa huku ukiungama dhambi zako ama kutukana, utakwenda na maji.
 
Polisi ni binadam kama watu wa kada nyingine kuna wabaya na wazuri kuna bongo lala na wenye akili nzuri
Nawajua baadhi askari wenye uweledi wa hali ya juu
Kwan nyie hamjawahi kutanana na TPDF mshamba na ni mjinga?
Ya Tpdf yamefikaje hapa?

Kama una hamu nao, waundie thread bhana.

Mbona mada mnaisongesha kishabiki sana?
 
Nioneshe Thread ilipoonesha ukomo wa maoni
Maoni yana wigo.

Mfano tunaongelea elimu, wewe unaingiza biashara, hauwezi kueleweka kimantiki.

Hapa tucheze na Polisi tuu, tuki'double cross' mada itakosa mvuto ama tutaonekana kamaa pro police wanufaika.
 
Maoni yana wigo.

Mfano tunaongelea elimu, wewe unaingiza biashara, hauwezi kueleweka kimantiki.

Hapa tucheze na Polisi tuu, tuki'double cross' mada itakosa mvuto ama tutaonekana kamaa pro police wanufaika.
unajua slogan ya JF?
 
Nasikitika Kuona hao polisi tuwasemao vibaya hivi ni wao tu baada ya mola mlezi hukesha wakilinda ardhi hii na wananchi wa taifa hili wasidhurike walalapo.
Ni wao polisi tu wako tayari kufa na kudhalilika na kuvumilia wakiitwa majina ya ovyo division zero , mbumbumbu na mbwa wa Ccm. Wakati kiukweli polisi ya Leo ni ya kisomi sana wamejaa humo Information Technologist, Engineers, waalimu na mafundi kwelikweli wa mission za kijeshi nk.
Nb.
Mema ya polisi ni mengi kuliko uovu wao.Miaka kadhaa iliyopita polisi walikuwa wakiuawa wakilinda mabenki, na baadae Kibiti wakafa Kwa makumi hakuna mwananchi aliyeibuka kukemea uovu ule.
Why.
Binadamu ukimfanyia mazuri mara mia. Baadae Kwa bahati mbaya ukamfanyia asichokipenda lazima akuseme vibaya na kukuona snitch.
 
Mtoa mada inaonekana unao chuki yako binafsi na hawa polici wa tz. Lakini hadi umemaliza andiko lako ujasema wala kutaja sababu zako za msingi za kutukataza tusiewe na uhusiano nao. Ww kama unazoki zako binafsi usituhusishe. Ukifanya vibaya au mjuaji lazma ujuane na wababe kama ww. Polici ni binadamu kama sisi. tunaenshi nao kwa wema na adabu. Hadi wakati mwengine tunawahibia wake zao. Na tunakula vyema nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…