MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kuna binti alinipenda sana, mtoto wake wa kwanza alimpa jina langu.Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.
Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.
Chukua tahadhari.
Huu sio ushauri ni sheriaSio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.
Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.
Chukua tahadhari.
Mke wangu kampa mwanagu jina la baba ake mzazi ila yule baba mkwe ni mswahili sana nafikiri kumbadili jina mwanangu asije kupata tabia za huyu babu wake.Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.
Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.
Chukua tahadhari.
We ndio baba wa mtoto usijivungeKuna binti alinipenda sana, mtoto wake wa kwanza alimpa jina langu.
Hili sikupendezwa nalo hata kidogo.
Mimi baba natoa majina Mimi mwenyewe kwa watoto wote.Mama atoe majina ya watoto wa kike hivyo hivyo baba atoe majina ya watoto wa kiume
Ohoooo๐๐๐๐๐๐๐๐Wanawapa majina ya ma ex zao au waliovunja mlango first time
NakaziaHuu sio ushauri ni sheria
Hapana mkuu, huyo binti ni wale vivuruge...anapita mtaani anawambia watu namtafuna, huku sina mpango naye.We ndio baba wa mtoto usijivunge
Unahangaika bure hitobadili kitu, jina la kwanza ndio litasimama huwezi kulifuta.Mke wangu kampa mwanagu jina la baba ake mzazi ila yule baba mkwe ni mswahili sana nafikiri kumbadili jina mwanangu asije kupata tabia za huyu babu wake.
Akianza shule na cheti chake zakuzaliwa taweka jina langu jipya, huyu mama kabeba tu mtoto kama kabati, mbegu ilikua yangu......kwahiyo ndani ni mimi nje ndo mamaUnahangaika bure hitobadili kitu, jina la kwanza ndio litasimama huwezi kulifuta.
Siku zote mkeo atamwita mwanao baba.
Mama ana muunganiko mkubwa sana na mtoto kuliko sisi wanaume, kumbuka wamefahamiana mieziv9 kabla wewe na mtoto hamjafahamiana