Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

Siku kuna wasagaji pia. Unaweza kuta binti yako anapewa jina la mtu wake anaemsaga. Mwanaume toa majina wewe mwenyewe tu.

Japo na sisi huwa tunatoa majina ya mademu zetu. Binti yangu wa pekee nimempa jina la demu wangu wa kwanza wa primary japo mama yake hajui chimbuko la jina.
Hakunaga Mwanaume wa kumpa bint yake jina la demu wake. Wanaume wa hivyo walibaki Mwanza na Arusha mjini.
 
Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike.

Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto wao wa kiume waliopewa na mama zao.

Chukua tahadhari.
Wala ustafute ushauri wa mke wako kwenye kutafuta jina la mtoto wa kiume
 
Mwisho wa siku watoto wanaishia kuimba nani kama Mama. Mna upuuzi kiwango cha SGR ,mtu ahangaike mimba miezi tisa uchungu juu kunyonyesha miaka miwili kisha unamnyima haki ya kutoa jina kisa your own inferiority
Kwani kubeba mimba ni mahangaiko? Mimi nilidhani ni pride na ni Neema za Allah? Sikuwahi kujua kuwa kubeba mimba ni mahangaiko na 'laana'.
 
Hayo nimakubaliano yenu wawili ugomvi unatoka wapi binafsi sipendi kuwa rithisha watoto wangu majina ya ukoo maana majina mengine yana ambatana na laana sisi tume tafta jina zuri lenye maana zuri tuka mpa mtoto wetu ..... je? Kuna mjadala hapo
Wewe muite hata Billgates lakini kama huna Mipango haisadii chochote.

Babu yangu alikuwa tajiri sana wa enzi zao, na utajiri wake mkubwa ni mifugo, ilikuwa kila mwanaukoo anayetaka kuowa basi mahari anakwenda kuchukuwa kwa babu yangu yani Ng'ombe.

Sasa basi kwa imani utajiri ujirudia unakuta familia moja baba anawapa majina mpaka Watoto watatu jina moja la yule Babu yangu kwa imani yao kwamba kwenye ukoo lazima kutatokea mtu mwenye jina lake na atakuwa tajiri mkubwa kama Babu.

Basi ukija kijijini kwetu utacheka ukiuliza unamtafuta Fulani ni lazima useme mtoto wa Fulani na bado ndani ya familia hilo jina wanatumia Watoto watatu, imebidi vijana wenyewe wa kisasa lile jina wakalichakachuwa sasa hivi kila mtu ana utambulisho wake kwa jina hilohilo kama vile Mohammed, Muddy na Mo.
 
Kama hivyo sawa ila kuna familia hazipo ivo ........ mmi hadi mama mzazi aliwahi nambia usije ukampa mwanao jina la flani kwenye ukoo ina maana kuna majina siyo mazuri
 
Hakunaga Mwanaume wa kumpa bint yake jina la demu wake. Wanaume wa hivyo walibaki Mwanza na Arusha mjini.
ok. siwezi kukubishia inawezekana ikawa una ujuzi zaidi juu ya wanaume kuliko mimi. Sina sababu ya kuwajua wanaume wenzangu zaidi.
 
Back
Top Bottom