thats very true; ngoja niwape story
Tumesafiri na co worker wangu kwenda Mkoa X kwa shughuli za kikazi, safari yetu ilihusisha co workers wengine kama 3,
tumefika mkoa X, mm na mshikaji tumefikia lodge moja wengine wamefikia kila mmoja anavyojua.
Siku 3 baada ya kazi iliyotupeleka kule kukakutana kwa Lunch pamoja, Mdada mmoja ambaye tulikuwa wote kwenye hiyo safari nadhani vile tulikuwa tunakutana na watu wa taaisisi zingine katika kujitambulisha akasema yy anatokea taasisi yetu (tuiite P) basi ile tunakutana akaja akamweleza mshkaji yule ambaye nipo nae mm Lodge moja kwamba amekutana na Mdada (akamtaja jina) na kwamba amesema akiwa awe anaomba aje... jamaa hakusita akamwambia mwite.... aisee dak 6 nyingi amepigiwa simu akaja...ni mtu hasa!
kufika pale yule mdada like kama alikuwa excited yaani ameshindwa hata kula anataka kulia kwa furaha, anamwangalia mshikaji anamkumbatia hivi kwa hisia san, yaani yupo na shauku ya ajabu kwamba hajaonana na jamaa kama 9 years walipotezana kwa sababu jamaa ameoa na yule dada ameolewa.
basi baadae jioni yake tukawa mahala tunashusha wine kidogo, jamaa akaanza kutiririka kwamba walikuwa na very close relationship dada akaolewaga mtoto wake huyo akampa jina la mshikaji kwa namna alikuwa anampenda..... and bad sijui nimese good enuf jamaa walifanya baby come back wakafanya yao na until leo mdada anafungaga safari kumfuata jamaa popote anapokuwepo!!
to conclude i second mleta mada, majina yanayotolewa na akina mama kwa watoto wao wa kiume mara nyingi yana historia fulani hasa ya kimahusiano!
Basi baa