passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Ni vile tu hafahamu.Niliposema mm ni mafia nadhan hukunielewa.
Hio sheria huwa ina loophole mahala, najua ninachokisema. Lakini akishakua na copy ya cheti cha ndoa ndipo huchomoki
Ila rebuttable resumption akipata wanasheria mnagawana mali mchana kweupe.
Na kingine prenuptial agreement ina weekaness nyingi sana hata kwa bongo sidhani kama ipo applicable.