Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

Niliposema mm ni mafia nadhan hukunielewa.

Hio sheria huwa ina loophole mahala, najua ninachokisema. Lakini akishakua na copy ya cheti cha ndoa ndipo huchomoki
Ni vile tu hafahamu.

Ila rebuttable resumption akipata wanasheria mnagawana mali mchana kweupe.

Na kingine prenuptial agreement ina weekaness nyingi sana hata kwa bongo sidhani kama ipo applicable.
 
Unachosema ww ni kigumu kufanyika, lkn sheria ina tabia ya kujifix yenyewe, almost matatizo yote yanayoletwa na sheria basi yanatatuliwa na sheria, ndio maana kuna attorneys.

Solution ni prenup tu, lkn kama niluvyosema sina uhakika kama zinafanyavkazi hapa TZ, lkn nchi za nje watu wanatumia prenup kulock mali zao.
 
hebu iandikie UZI hii mada, mkuu...ni jambo jema sana hili umeandika ndugu, moja ya sababu pia kwa watu waliotoboa kimaisha kuogopa ndoa ni pamoja na hizi sheria za ndoa zilizopo....πŸ‘πŸ‘
 
Ni vile tu hafahamu.

Ila rebuttable resumption akipata wanasheria mnagawana mali mchana kweupe.

Na kingine prenuptial agreement ina weekaness nyingi sana hata kwa bongo sidhani kama ipo applicable.
Mzee huyo mwanamke alishaniacha akaenda hadi mahakamani, ustawivwa jamii kazunguka ila yakamshinda, alipichoka nikamwambia rudi ndani, akarudi. Sabab ni mara mia kukaa na kajini unakokajua na kanakokufaham kwamba ww si wa mchezo mchezo.

I'm faced with legal issues on daily basis, nikikwambia hio sheria ya kukaa na dem eti miezi sita ndo nimemuoa ina loopholes naelewa ninachokisema.
 
Kuna ukweli fln, ndo maana nasema msioe
Kuoa oa ila usifanyie uchaguzi instagram. Trust me. Bado kuna wanawake wenye adabu sana. Nimekumbuka mjomba wangu siku moja alinichekesha kweli kweli. Alimpata mke wake alipokuwa chuo cha ualimu enzi hizo, basi akawa ananimbia kuwa yeye akiwa mwaka wa tatu, walikuja wanachuo wa mwaka wa kwanza. Akasema akafanya uchunguzi na kuchagua mmoja aliyekuwa mshamba mshamba hivi hata kuvaa hajui kupangilia. Fast foward, huyo mke wako naye mpaka sasa hivi na wana wajukuu na maisha yao yamekuwa mazuri sana.
 
Miaka ya zamani hio mkuu.
Wanawake wa sasahivi, jitoe akili umuoe ndo utaona tabia yake halisi, atakupangia hata umtombe mara ngapi na lini.
 
Na ndicho nilichomaanisha mimi ila nimeelezea ki layman zaidi. Hali ya sasa hivi ambayo wanaume wanaoa kwa sababu ya kumtamani mwanamke na mwanamke anaolewa kwa sababu ya kutamani mali, waki-introduce prenup itasaidia sana.
 
Nina mwanamke mwaka wa saba huu nakaa nae na sijamuoa, kila mtu anaenijua physically anajua ni mke wangu. Kuna kipindi alileta kelele lkn akaja kugundua mimi ni mafia, ametulia anakula ugali na samaki.
Dunia imekua ya tofauti sana.
Mwanaume anajisifia kuishi bila ndoa. Imekua kuishi bila ndoa ndio umwamba sasa.
 
Sheria haisemi miezi sita.
Sheria inasema almost 2 years .

Huyo hajapata wanasheria haswa wakike, Mimi naona jamaa alikaa na demu miaka 6 bila ndoa, kumbe mwanamke kwao kuna wanasheria waligawana pesa mchana kweupe bila kuzunguka.

Wanasheria wanawake wapo ambao wanajiita wao wanataka kudili na wanaume jeuri. Akifika hapo huchomoki ninakuhakikkshia.
Mimi baba mkwe wangu ni mwansheria mama mkwe ni mwanasheria.


Kwa hali ya kawaida yaani miaka yote umeishi nae at the end anaondoka na vyote hivyo alivyokusaidia?

Omba mungu kaka asipate wanasheria wanaume kibao wanalia.

Halafu prenuptial ndio maana bado bongo haipo enforced sababu ya mapungufu kibao.

sana sana zinatumika kwenye couples zenye utajiri mkubwa na zina matatizo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…