100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Ndoa tamu bwana, wife kapika ugali wa mahindi, kuna sembe, ugali wa muhogo na mboga za kila aina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf member wa kataa ndoa, amehamia kwenye pipi kijiti...teh😜Nani tena huyu 🤓🤔
Usi jipe moyo, hiyo meme ni ya wasukuma🤓😆Ndoa tamu bwana, wife kapika ugali wa mahindi, kuna sembe, ugali wa muhogo na mboga za kila aina.
View attachment 2926192
😁😁Jf member wa kataa ndoa, amehamia kwenye pipi kijiti...teh😜
Hilo lake 🤓, ila Kataa ndoa ni hazina mzee🤓😆Jf member wa kataa ndoa, amehamia kwenye pipi kijiti...teh😜
Huenda jamaa anaanzisha uzi huku amelala na mkewe🤣😃😃 akili kumkichwa.
hao Jamaa ndo wenye nyuzi kulia Lia, kuhusu ndoa??. Hahaha View attachment 2926191
Tuishi humuniko siti ya mbele kabisa
KATAA NDOA
NDOA NI MKATABA WA KIHUNI
KATAA NDOA TUNZA KIBUNDA
KATAA NDOA ISHI MAISHA MAREFU YA FURAHA
KATAA NDOA NA UNAFIKI WAKE
KATAA NDOA TAMBUA NAFASI YA MWANAUME
Si ndio mzee hatari sanaHuenda jamaa anaanzisha uzi huku amelala na mkewe🤣
Kaka una sifa 😆🤣🤣Huenda jamaa anaanzisha uzi huku amelala na mkewe🤣
hii ndio yenyewe kabisa msalimie mwenyekiti.Tuishi humu
View attachment 2926193
Bro ni Sera za kupotosha ukweli, ila walio oa ndo HawaNasikia inahusishwa na ushoga, mnapokea ruzuku kutoka kwa jamii ya mashoga
Unawauza wenzio acha hizoKaka una sifa 😆🤣🤣
Tuishi humu KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKOVijana epukeni zinaa
Wengine wanakataa ndoa kumbe HAISIMAMISi ndio mzee hatari sana
Mwanzilishi wa kataa ndoa ni HANITH ujueTuishi humu KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO