Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Ndoa ni kwa wale wenye akili timamu,Sasa wewe mtu atena ya kichwa haiko sawa ndoa utaiwezea wapi[emoji205]
Kumbe nani anataka seke seke ndani ya nyumba,watu wanataka amani siyo hayo yanayosemwa ndani ya ndoa wakati hamna kitu. Mambo yote yaliyopo kwenye ndoa yanapatikana pia bila ndoa,na hakuna Cha ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@pongezi kwa kutengeneza uzi huu
 
watu wote wenye uwezo mkubwa hata kama alikua na demu ana mdivorce
 
Mbadala ni upi? Tuishi tu bila "kuoana" Kisheria!? Au tupige pull au kugonga mademu na kusepa, hakuna kupata watoto, tukusanye Mali, magari, nyumba nk, harafu hafaidi na ni?
Tuishi kama Diamond, unazaa na mademu kadhaa au mmoja! We, unalea, watoto tu, mama Yao akae pembeni!
 
proton pump muelimishe mwanachama mpya huyu🤓😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…