Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Ndoa ni kwa wale wenye akili timamu,Sasa wewe mtu atena ya kichwa haiko sawa ndoa utaiwezea wapi[emoji205]
Kumbe nani anataka seke seke ndani ya nyumba,watu wanataka amani siyo hayo yanayosemwa ndani ya ndoa wakati hamna kitu. Mambo yote yaliyopo kwenye ndoa yanapatikana pia bila ndoa,na hakuna Cha ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.

Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.

swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.

maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.

Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.

KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50

View attachment 2926176
@pongezi kwa kutengeneza uzi huu
 
Isaac Newton.

Tesla himself

Da vinci

Hao ni baadhi ya wanachama baadhi.

Mfano huyo Da Vinci hakuwahi kuoa na IQ yake ilikuwa inafika 200 na zaidi.

Yesu mwenyewe alikuwa team kataa ndoa.

Watu wenye akili nyingi wanapenda utulivu, na mara nyingi wanakaa na kutafakari mambo kwa upana.
watu wote wenye uwezo mkubwa hata kama alikua na demu ana mdivorce
 
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.

Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.

swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.

maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.

Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.

KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50

View attachment 2926176
Mbadala ni upi? Tuishi tu bila "kuoana" Kisheria!? Au tupige pull au kugonga mademu na kusepa, hakuna kupata watoto, tukusanye Mali, magari, nyumba nk, harafu hafaidi na ni?
Tuishi kama Diamond, unazaa na mademu kadhaa au mmoja! We, unalea, watoto tu, mama Yao akae pembeni!
 
proton pump muelimishe mwanachama mpya huyu🤓😆
 
Back
Top Bottom