Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #141
dronedrake tuna sikiliza neno lake??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intelligent businessman usiukimbie uzi wakoHii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.
KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2926176
Za kuambiwa changanya na zako.Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.
KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2926176
Niukimbie kisa nini Sasa🤔Intelligent businessman usiukimbie uzi wako
Kwahiyo kwa takwimu zako sizizo rasmi ni kua wenye matatizo ndoani ni wengi kuliko wenye furaha??Mi nimesimama hapa kuzungumzia ndoa katika asilimia kubwa.
We unafikiri hakuna wanawake wanawalea wanaume, wamewatengenezea maisha wanaume?
Wapo ndio maana mwishoni nilisema kuna aina hio ya wanawake lakini ni kwa asilimia chache.
Hata hao kina Dewji na Bakhresa ni asilimia ngapi ya couple zilizopo ndoani?
Tazama kwa upana wake na utahakiki nachozungumzia.
Napenda utulivu wa akili na mwili.Kwahiyo kwa takwimu zako sizizo rasmi ni kua wenye matatizo ndoani ni wengi kuliko wenye furaha??
Kumbuka ndoa zinafungwa kila leo, na mapaka sasa ni watu wengi wako ndoani more than 10 yrs kwa raha zao.
Kama nilivosema, maisha hayakosi changamoto mkuu. Wewe kwa kipimo chako umeona kua ukioa mwanamke atakufilisi maana utakua unamlisha na yeye haprovide kitu..
Ila wengine hawaioni ndoa kwa angle hiyo, yeye kupata penzi, kufanyiwa majukumu mbalimbali ya nyumbani, kulea watoto nk anaona vinalingana na thamani anayoitoa kwa matumizi hapo home.
Ni mtazamo tu.
Ni uoga binafsi mkuu, utulivu wa mwili na akili hauathiriwi na ndoa pekee, kuna mengi yanaweza fanya hivyo hata usipokua na ndoa.Napenda utulivu wa akili na mwili.
Sio kuhusu matumizi, kutokuwa na utulivu wa akili kunapelekea maisha yako kwenda mrama.
Nirudie tena utulivu wa akili ni muhimu, huwezi kuwa na focus na concentration kwenye kazi kama ndoa inasumbua.
Ndio maana nimekuambia matajiri wakubwa kuachana na wake zao ni kukwepa matumizi?
Najua huwezi kunielewa.
Mpaka Sasa ana mabao zaidi ya 100 🤓, ila haongozi kwenye ligi🤣🤓Wazee wa kataa ndoa mna hoja nzito ila mimi ninashauri muwe na watoto... CCM inahitaji wapiga kura huko mbeleni. Nyeto mnazopiga ni hasara kwenye sanduku la kura... mabao yote ya nyeto tunahesabia kama kura zilizoharibika. Chali angu dronedrake kashaharibu kura nyingi sana..
NaamNoma sana!
Nyeto zitawauaHii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.
KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2926176
Gono haiui acha uongo😄Unaweza kukataa ndoa na ukafa masikini totoro.
Unaweza kukata ndoa na ukafa na gono.
Unaweza kukataa ndoa na usiwe huru
Jichanganye fundi 😄😆mkuu ujue ndugu yako hapa na mpango wa kuoa sasa kwa haya mashambulizi mnayonipa mna malengo gani na mm
Nyeto zitawaua
Hatu maanishi uishi mwenyewe, ila Kataa ndoaYaani niishi mwenyewe si upweke utaniua
Huwa nafurahi sana vile nafika home watoto wananikimbilia aisee tena wote copy yangu vile npe sitting room wananisumbua sumbua,wote wawili wako under 6 yrs