Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
😂😂😊 nimeitoa mbali sana hii mkuuSema hiyo avatar ina chekesha Sana🤣😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😊 nimeitoa mbali sana hii mkuuSema hiyo avatar ina chekesha Sana🤣😆
Huyo Jamaa ni muigizaji ehh??😂😂😊 nimeitoa mbali sana hii mkuu
Ule ushauri kumbe hukuufata?Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.
Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.
swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.
maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.
Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.
KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50
View attachment 2926176
Naomba kadi ya uanachama.Uko sahihi mjumbe.
Ushauri wa kukurupukia matatizo 🤓🤣Ule ushauri kumbe hukuufata?
Karibu chamaniNaomba kadi ya uanachama.
Hiyo picha ya T-shirt imesimamia ukucha 100%. 😀😀😀😀😀Huu ndo ukweli mchungu 🤓🤣😆
View attachment 2926236
Jana jioni nilikutana na mwenzio kaprint t-shirt kabisa imeandikwa "kataa ndoa Linda kubunda chako" nikajisemea hivi kumbe hiki kitu kipo seriousUshauri wa kukurupukia matatizo 🤓🤣
Jana jioni nilikutana na mwenzio kaprint t-shirt kabisa imeandikwa "kataa ndoa Linda kubunda chako" nikajisemea hivi kumbe hiki kitu kipo serious
Aisee! Vijana muoe bwana
Stress za utafutaji zipo, sasa ongezea na stress za ndoa.Kwani usipokua kwenye ndoa ndo utakua umekwepa stress??
Ndo maana nkakwambia ni akili yako tu mkuu.
Kama ni hivyo mnavyowaza basi wazee wetu wasingezeeka pamoja.
Unaoa ukitegea mtaishi kwa raha maisha yenu yote, matatizo yapo tu hata ukiwa single.
Aisee! Vijana muoe bwana
Wewe unataka ndoa iweje??Stress za utafutaji zipo, sasa ongezea na stress za ndoa.
Ndoa ni mkataba unasaini mwenyewe na kukubali maisha yako yote utatumia nguvu zako na resources ulizonazo kumnufaisha mwanamke ambaye yeye kwake we ni mtumwa wake unayejiona kichwa na mfalme hali ya kuwa ni mtumwa kifikra.
Hivyo utakubali kukamuliwa hadi tone la mwisho, hivi huoni kwa nini wanawake wengi kwenye ndoa wamenenepeana kama mtoto wa tembo huku waume zao wamekondeana?
Ni kwa sababu mwanaume anafanya kazi usiku na mchana na anachoka ili kumlisha parasite ambaye kazi yeye ni kutoa ngono tu, kuna wanawake ambao wanatoa zaidi ya ngono lakini kiuhalisia asilimia kubwa wapo hivyo.
Umenikosha sana mkuuStress za utafutaji zipo, sasa ongezea na stress za ndoa.
Ndoa ni mkataba unasaini mwenyewe na kukubali maisha yako yote utatumia nguvu zako na resources ulizonazo kumnufaisha mwanamke ambaye yeye kwake we ni mtumwa wake unayejiona kichwa na mfalme hali ya kuwa ni mtumwa kifikra.
Hivyo utakubali kukamuliwa hadi tone la mwisho, hivi huoni kwa nini wanawake wengi kwenye ndoa wamenenepeana kama mtoto wa tembo huku waume zao wamekondeana?
Ni kwa sababu mwanaume anafanya kazi usiku na mchana na anachoka ili kumlisha parasite ambaye kazi yeye ni kutoa ngono tu, kuna wanawake ambao wanatoa zaidi ya ngono lakini kiuhalisia asilimia kubwa wapo hivyo.
Kwani bila huwezi kupika hivyoNdoa tamu bwana, wife kapika ugali wa mahindi, kuna sembe, ugali wa muhogo na mboga za kila aina.
View attachment 2926192
When People make a threat, I just laugh. Couse to me you will never be a threat..Ndoa ni kwa wale wenye akili timamu,Sasa wewe mtu atena ya kichwa haiko sawa ndoa utaiwezea wapi🐒