fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Yeah ni uchaguzi wa mtu tuKila mtu ashinde mechi zake, anaeona ndoa tamu aoe, anaeona imemshinda atoe talaka, anaeona ndoa haifai asioe, simple tu, kila mtu anaishi anavyoona ni sahihi
Unauhakika mungu angekuepo humu JF angekubali kwamba ndoa ni mpango wake?
ulikaa wapi na mungu akakwambia kwamba ndoa ni mpango wake?
ongelea mawazo yako lakin sio umpakazie mungu!!!
kwakua haonekani ndo mnaona wakumsingizia?...
Kwani tukizaana na kutunza na kila mtu akaishi kivyake bila ndoa kuna ubaya gani?Tumweke Mungu pembeni.
Tu-assume kwamba hayuko kama unavyotaka.
Binadam ni mnyam kama mnyama mwingne.
Ila tuna akili na kustaarabika kuliko wanyama wote.
Na ndio maana tukajistiri na nguo na kuwekeana taratibu flan na flan.
Haipendezi kufanya mapenz na kila binadam mwenzako kama wafanyavyo wanyama wengne, au kuzalisha au kuzaa na kutelekeza mwanao. Na ndio maana ukawekwa utaratibu wa watu waoane ili watengeneze familia zao.
Unaweza ukawa mnyama mkaidi na usioe na ukafanya mapenz Au ukazaa na usitunze. Ni sawa ila haipendezi.
kwahiyo Ndoa ni utaratibu wa kistaarabu wanyama sisi Binadam tunatakiwa kuish nao ili kujitofautisha na wanyama wengne.
Hapa hata Mungu hausiki.
Sioni mantiki ya kulazimishana.Yeah ni uchaguzi wa mtu tu
Tena wabongo tulivyo wachoyo kuitiana mambo yenye faida ila cha kushangaza ndoa watu wanalazimishana kabisaSioni mantiki ya kulazimishana.
Kwani tukizaana na kutunza na kila mtu akaishi kivyake bila ndoa kuna ubaya gani?
mjadala tunaufunga hapaKila mtu ashinde mechi zake, anaeona ndoa tamu aoe, anaeona imemshinda atoe talaka, anaeona ndoa haifai asioe, simple tu, kila mtu anaishi anavyoona ni sahihi
Inawezekana kabisa na maisha yakaenda fresh kabisaYaan una maana uzae na wanawake tofauti na yeye azalishwe na wanaume tofauti?.
Yaan una maana yeye Mwanamke akae na watoto ila ww ukae pekeyako?.
Au na ww utakaa na watoto waliozaliwa na kutunza na upande mmoja?.
Inawezekana kabisa na maisha yakaenda fresh kabisa