ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Asie sikia la mkuu huvunjika guu'Nachoweza kusema tu
Usioe
Siwezi andika yote
Kuna nyuzi huku zaidi ya 100 zina kupa sababu kwanin usioe
Sikio la kufa halisikii dawa
Asie sikia la mkuu huvunjika guu'Nachoweza kusema tu
Usioe
Siwezi andika yote
Kuna nyuzi huku zaidi ya 100 zina kupa sababu kwanin usioe
Bado dogo kabida wewe kizazi 1990 ni watotoNina miaka 36 (1990) na mimi ndio raisi wa KATAA NDOA.
"Watoto wadogo" umemaanisha nini?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hahaha. Amesema faida mojawapo ya ndoa ni kujamiiana ukweni na hakuna anayewauliza.Taja faida za ndoa
Personal attack nani anakujua mzee?Ni lazima mtumie haya maneno?
Mbona sisi ambao hatutaki ndoa hatuyatumii.
Kutumia hizi "personal attack" huwa mnamaanisha nini???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu kwani wew haujutii kuwa na mama abeli kama wanajamvi wanavosema ? 😁Nasoma maoni ya wadau 😄😁😃😃
I agree to disagree, lakini pia ukiweza kujadiliana bila kutumia hayo maneno basi karibu tujadiliane.Personal attack nani anakujua mzee?
Ikiwa mtu mama yake alizaa kama mbwa hajawahi kumuona akitoka mlango mmoja na baba yake huyu akisema ndoa haina maana nitamuelewa lakini amezaliwa ndani ya ndoa amekua ndani ya ndoa aseme ndoa haina maana?huyo ni mwendawazimu na failure mkubwa wa maisha.
Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu.
Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa
Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo.
Ndoa inahusisha binadamu na kila binadamu ana udhaifu,hivyo kupinga ndoa juu ya misingi kuwa zina matatizo ni upofu wa kijinga kabisa.
Tuongezee juhudi watu wazidi kuoana kwa manufaa ya ulimwengu.Pia ni kumtii Mola wetu.Hebu fikiri jinsi ndoa inavyoleta raha mnajamiiana na mwenza wako hata mkiwa ukweni na wala hakuna atakayewauluza kitu.
Kataa ndoa wanahoja Kali Sana.
Zisipojibiwa wanalingana na wale wa Atheist
Ndoa kwa Mwanaume ni utapeli. Kulingana na Sheria zilizopo
Hebu outline hapa in brief hoja zao kwanini wanakataa ndoa?.
Na mm ntaweka kwanini Muhim mtu awe na ndoa yake.
Siyo kulazimishana na kutoana akili😄😄Kila mtu ashinde mechi zake, anaeona ndoa tamu aoe, anaeona imemshinda atoe talaka, anaeona ndoa haifai asioe, simple tu, kila mtu anaishi anavyoona ni sahihi
Mkuu huwezi kuishi na mwanamke bila kujitokeza changamoto yoyote.Sisi wale wenye kuishi na wake zetu na hakuna changamotoo tuishi vile inatupendeza cha msingi tusiingiliane kwenye uamuzi
Mkuu huwezi kuishi na mwanamke bila kujitokeza changamoto yoyote.
Mtazame hapa hayati Mwai kibaki alivyokaliwa chapati na mkewe.
View: https://youtube.com/shorts/Ucx-Cp6ALSs?si=8R7GG5Wa4D7KC5dm
Kataa ndoa
Imagine Mwanaume kamili, kila siku asubuhi unaamka pembeni ya kiumbe mwanamke, ni kiasi gani energy yako inakua drained?hii kampeni ya kiduanzi naiona JF na X uko kuna wadau wanadai ndoa ni utapeli mkubwa.
anyway ni mitazamo yao,pia wanadai kama unapata milk je kwanini ufuge uyo cow.
ni mitazamo yao pia,ila ndoa ni ya mwanaume kamili.
Hiyo sasa ni chuki kwa wanawake,Imagine Mwanaume kamili, kila siku asubuhi unaamka pembeni ya kiumbe mwanamke, ni kiasi gani energy yako inakua drained?
Sijutii mkuu 😄😁Mkuu kwani wew haujutii kuwa na mama abeli kama wanajamvi wanavosema ? 😁
Max aliona mbali kuweka issue ya I'd fake 😂🙌Imagine Mwanaume kamili, kila siku asubuhi unaamka pembeni ya kiumbe mwanamke, ni kiasi gani energy yako inakua drained?