Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Watoto wadogo wakiongozwa na failures wachache wa maisha ujinga unawasumbua,hao wala siwazingatii siku hizi.
 
Unauhakika mungu angekuepo humu JF angekubali kwamba ndoa ni mpango wake?
ulikaa wapi na mungu akakwambia kwamba ndoa ni mpango wake?

ongelea mawazo yako lakin sio umpakazie mungu!!!
kwakua haonekani ndo mnaona wakumsingizia?...
Punguza bangi bro
 
This is it.

Sasa mtu anaogopa ndoa utadhan sijui nini.
Hajawah hata kuoa/kuolewa.
Anasikia mabaya ya ndoa kwa watu kadhaa bas na yeye anaamua kutoingia.

Hawa ni wale kama wangeambiwa wana option 2.
1. Uzaliwe ukue alaf ufe
2. Uamue usizaliwe ili usife.

Wangechagua ya 2. 😂😂😂

Dont fear Death.
Dont fear Marriage.
Dont fear death
Dont fear marriage,
nimeipenda hii
 
........ mwanaume kamili.

Nakushauri ukiwa unatetea hoja usiwe unatoa hoja za "personal attack" na kutweza utu wa mtu.
Huku nilipo sasa hivi, ukibishana na mtu ukaona huna hoja ya kumjibu ila ukubaliani nae basi una "agree to disagree" basiiii.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Watoto wadogo wakiongozwa na failures wachache wa maisha ujinga unawasumbua.
Ni lazima mtumie haya maneno?
Mbona sisi ambao hatutaki ndoa hatuyatumii.

Kutumia hizi "personal attack" huwa mnamaanisha nini???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ni sawa.
ila kiustarabu ni muhim kukaa kifamilia. Hata wanyama baadh wenye IQ kubwa kidogo kama Sokwe, tembo wanakaa kifamilia.

Sasa sisi ambao ni Prime tunatakiwa tushikamane zaid.
Tatizo binadam ni washenzi kuliko wanyama
Wewe utamchukulia familia ila yeye ana kuwinda
Ukijaa kwenye mfumo tu.... utakiona cha mtema kuni
 
Kama kungekua kuna uwezo wa kujua dhamira ya mtu kwanini anaoa au anaolewa
Ningeshauri ndoa
Ila kwa kua ni ngumu kujua hilo
Sishauri mtu jambo hilo
Sishauri kabisa
Kwa maana ya kwamba binadamu wanabadilika hata kama mwanzo alikuwa mwema😂😂
 
Nakushauri ukiwa unatetea hoja usiwe unatoa hoja za "personal attack" na kutweza utu wa mtu.
Huku nilipo sasa hivi, ukibishana na mtu ukaona huna hoja ya kumjibu ila ukubaliani nae basi una "agree to disagree" basiiii.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sawa nimekupata.
 
Back
Top Bottom