Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

Kitendo cha wewe kulala ukweni mpaka ukaweza kumlala mkeo na ukaja kutamba hapa jamvini inaonyesha una mchango mdogo sana kwenye hili taifa
Mchango wangu kwa taifa ni mkubwa mno,zingatia:
1.nimelipa kodi nyingi kadhaa wa kadhaa
2.Nimezaa watoto ambao ndio msingi wa taifa hili
3.Nimefanya kazi kadhaa na biashara kadhaa ambazo zimeliingia taifa hili kipato
 
Kwa burudani hizi,Naweza fikisha hata 30 mzee, ila mie huwa sitizami ya mbele, naishi sasa, kwasasa ananipa burudani naburudika, kesho akibadilika anakula kidochi, maisha mengine yataenda 🤣
Kawaida tu , yote hayo yanapatikana tu bila hata ndoa
 
Uko sahihi ndoa ni mpango wa Mungu, ni jambo jema Mwanaume na Mwanamke wakiamua kuacha wazazi wao na kuungana kuwa mwili mmoja kuanzisha familia yao kwa lengo la kuongeza uzao na kusaidiana kwenye shida na raha, ni bahati mbaya tu zama hizi imekuwa tofauti sana
 
Sio ya kijinga , kuna wengine wameepuka matatizo kwa hizo itikadi , utasemaje ni zakijnga na wakati matukio ya kwenye ndoa kila siku yanaibuka?
Ndoa lazima ziwe na changamoto, siyo mteremko tu kama kwa sadalaa.

Changamoto hizo zisimfanye mtu kirahisi kuhitimisha kuwa ndoa ni ujinga, na kuhamasisha watu wengine kwenye jamii kukataa.

Changamoto hazikimbiwi, zinakabiliwa.
 
Kwa burudani hizi,Naweza fikisha hata 30 mzee, ila mie huwa sitizami ya mbele, naishi sasa, kwasasa ananipa burudani naburudika, kesho akibadilika anakula kidochi, maisha mengine yataenda 🤣

This is it.

Sasa mtu anaogopa ndoa utadhan sijui nini.
Hajawah hata kuoa/kuolewa.
Anasikia mabaya ya ndoa kwa watu kadhaa bas na yeye anaamua kutoingia.

Hawa ni wale kama wangeambiwa wana option 2.
1. Uzaliwe ukue alaf ufe
2. Uamue usizaliwe ili usife.

Wangechagua ya 2. 😂😂😂

Dont fear Death.
Dont fear Marriage.
 
Ndoa lazima ziwe na changamoto, siyo mteremko tu kama kwa sadalaa.

Changamoto hizo zisimfanye mtu kirahisi kuhitimisha kuwa ndoa ni ujinga, na kuhamasisha watu wengine kwenye jamii kukataa.

Changamoto hazikimbiwi, zinakabiliwa.
Na alie zikimbia hizo changamoto za ndoa kapata hasara gani?
 
Kula tano
Sio kila mtu ana amini mambo ya Mungu
Sawa
Na alie zikimbia hizo changamoto za ndoa kapata hasara gani?
Yuko nje na mpango wa Mungu na hukumu za Mungu zinamsubiri
 
Back
Top Bottom