Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

hii kampeni ya kiduanzi naiona JF na X uko kuna wadau wanadai ndoa ni utapeli mkubwa.

anyway ni mitazamo yao,pia wanadai kama unapata milk je kwanini ufuge uyo cow.

ni mitazamo yao pia,ila ndoa ni ya mwanaume kamili.

umemalizia vizuri sana mkuu kweli kama kuna watu wenye mawazo mazuri hivi unastahili pongezi sana kwa kuwaza kiume, ikiwa una mawazo hivi ni ngumu kuangushwa hata na huyo mwanamke atakuheshimu siku zenu zote za maisha yenu,

wanaume tumeumbwa kuwa viongozi, sasa kiongozi ndiyo unaogopa ndoa kisa mwanamke inashangaza ujue 🤣🤣🤣🤣,ndoa ilitakiwa iogopwe na wanawake, mwanaume unaogapa presha, stress,kusalitiwa kwenye ndoa?unaogopa mikikimikiki ya ndoa na wewe ni mwanaume,
 
Ajabu
 
Na alie zikimbia hizo changamoto za ndoa kapata hasara gani?

Kataa ndoa ni kwamba watu wasifunge ndoa.
Na Sio aliyekuwepo kwenye ndoa alaf akatoka nje.

Kukaa bachelor had unazeeka unadhan kuna faida?.
Hata kama ziko ni chache kuliko hasara.
 
Naona Presha ya kubaki na Magazeti yako kila jioni hapo nyumbani inakukera mno.

Hao we baki nao, si mnasemaga kuzaa ni baraka .....Ajabu umezaa Magazeti na baraka hayupo sasa.
 
Kataa ndoa ni kwamba watu wasifunge ndoa.
Na Sio aliyekuwepo kwenye ndoa alaf akatoka nje.

Kukaa bachelor had unazeeka unadhan kuna faida?.
Hata kama ziko ni chache kuliko Faida.
Mpaka mtu akaamua kufanya hivyo jua kaona faida zake , hivi huwa mnafikiri watu kutooa wamekosa pisi kali au fedha ?
 
Mungu hajawahi kuleta dini! Dini ni za kwenu nyie mmezitengeneza wenyewe.

Likija Suala la Dini.

Ni bora niamini Mungu yuko alaf nikute hayuko.
(Kwanza kuamin inanipa miongozo bora ya kidini ya kuish duniani).
Kuliko kutoamini alaf nikakuta Mungu yuko.

Ni sawa na wakataa ndoa.
Wanasadiki ndoa zote ni mfarakano wakat hawajaingia.
Wakat wanaweza kuingia na kukuta ni ndoa yenye baraka na Neema.

The choice is yours.
 
Kwanini mnaitia ndoa sana kuliko machimbo ya mnapo toa pesa ?
 
Kila mtu ana hoja, kwa hiyo kila mmoja afuate analoona linafaa kwake.

Wewe kataa ndoa siku yakikukuta shauri yako, na wewe ndoa ndoano siku ukichomwa kisu ufe kivyako.
Dont Fear Death.
Utakufa tu uogope au usiogope.

Kwenye ndoa yanaweza kukukuta au yasikukute.
Sasa niogope ndoa kwa kuwaza kuwa yanaweza yakanikuta huko mbeleni?.
Hapana. Hautakiwi uogope.
 
Kwani kuna ulazima gani wewe ukiwa kwenye ndoa na mimi niingie?
 
Ndoa lazima ziwe na changamoto, siyo mteremko tu kama kwa sadalaa.

Changamoto hizo zisimfanye mtu kirahisi kuhitimisha kuwa ndoa ni ujinga, na kuhamasisha watu wengine kwenye jamii kukataa.

Changamoto hazikimbiwi, zinakabiliwa.
Siku utakapogundua kuwa nusu ya watoto sio wako na kuna wahuni wanakutombea na ukaendelea kuwa na maoni kama ya leo tutakusikiliza mkuu.
 
Likija Suala la Dini.

Ni bora niamini Mungu yuko alaf nikute hayuko.
(Kwanza kuamin inanipa miongozo bora ya kidini ya kuish duniani).
Kuliko kutoamini alaf nikakuta Mungu yuko.

Ni sawa na wakataa ndoa.
Wanasadiki ndoa zote ni mfarakano wakat hawajaingia.
Wakat wanaweza kuingia na kukuta ni ndoa yenye baraka na Neema.

The choice is yours.

Mimi swali langu ni dogo tuu!
Ni lini na kwa vipi Mungu alileta dini?
 
Back
Top Bottom