min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kazi commentie chumbani kwakoš®comments zipite kama ukimwi au virus wa ebola.
Kazi commentie chumbani kwakoš®comments zipite kama ukimwi au virus wa ebola.
Ndio maanaš¤Hahaha mimi na masaa kama 6 nakula pombe zangu mdogo mdogo hapaš
Maana ya nini?Ndio maanaš¤
Kuna sehemu nimekusoma shem ntakuchekiš hebu nipitie nikaondoe sleep inertia kwanza š¤øš½āāļøShem Seran jiandae nakupitia. Twende Kilingen šŗšŗšŗ muda umewadia.
Haya ya ndoa tuwaachie wenyewe. Sisi hayatuhusu. šššš
š¤£š¤£ mchumba anakuja na utatamba nae kazi ni kwakoKuna sehemu nimekusoma shem ntakuchekiš hebu nipitie nikaondoe sleep inertia kwanza š¤øš½āāļø
Iceberg9 si haba baba mchungaji hauko nyuma, nawasoma kwa ukaribu sana na shemeji yangu aisee nimewaachia jukumu la kumleta huyo mchumbaš š¤š½
Wadau hakuna kitu , wengi wao wanaunga unga life tu na ndoa za mikekaš®Nasoma maoni ya wadau šššš
1.Kutimiza mpango wa MunguTaja faida za ndoa
Ndugu yangu nimecheka sana ššš kuna siku hapa mtaani tulicheza game walio oa na wasio oa aloo vijana singo tuliwapiga kama ngoma tukawaambia acheni kukwea mnazi šš na wao wakasema nyie endeleeni kuteseka na kuishia kupata viharusišššWadau hakuna kitu , wengi wao wanaunga unga life tu na ndoa za mikekaš®
PoleKama kuwa na akili ingekuwa ni kosa la kufungwa jela, wewe mtoa mada ungekuwa huru.
Katibu mwenezi wa kataa ndoa
Ndio maana nikakumbia sio kila mtu ana amini hayo mambo yako , nnje na hapo watu kibao tu wanaishi vizuri tu bila hiyo mipango ya kwenye imani yako1.Kutimiza mpango wa Mungu
2.Kupata watoto waliozaliwa kwenye mpango wa Mungu
3.Kujenga familia kwa kuzaa watoto,kuwalea na kuwakuza kwa mpango wa Mungu ambao nao wakikuavwatafanya hivyohivyo
Nje ya ndoa mwanamke na mwanaume wanaishi kwenye uharibifu ambao utaleta maafa makubwaNdio maana nikakumbia sio kila mtu ana amini hayo mambo yako , nnje na hapo watu kibao tu wanaishi vizuri tu bila hiyo mipango ya kwenye imani yako
Uzuri plan B unaijua freshyšš¤£š¤£ mchumba anakuja na utatamba nae kazi ni kwako
Hakuna mtu ambaye halijui hilo acha kumpigia mbuzi gitaa!Nje ya ndoa mwanamke na mwanaume wanaishi kwenye uharibufu ambao utaleta maafa makubwa
Walio oa huwa na mahasira hasira ya ajbu hakuna faida ya kuoa kama unapishana nao kununua malaya na kukesha bar , vijana wengi wamechoka wanaokotezana tu,kwenye nyumba za kupanga uswahilini nae unakuta ana vimba kaoaš®Ndugu yangu nimecheka sana ššš kuna siku hapa mtaani tulicheza game walio oa na wasio oa aloo vijana singo tuliwapiga kama ngoma tukawaambia acheni kukwea mnazi šš na wao wakasema nyie endeleeni kuteseka na kuishia kupata viharusiššš
Binadamu ni lazima akumbushwe mara kwa maraHakuna mtu ambaye halijui hilo acha kumpigia mbuzi gitaa!
š¤£š¤£š¤£Uzuri plan B unaijua freshyš
Nilitaka niandike hivi aisee... Mtoa mada nae ni takataka kabisa. Bora aneongelea kataa ndoa kuliko anae hubiri mungu sijui mpango umefanya niniKitu ukisha sema ni mpango wa Mungu ndio nakiona taka taka kabisa
Hata sijui kama unajielewa maana hujui uliloliandika,soma tena ulichoandikaNilitaka niandike hivi aisee... Mtoa mada nae ni takataka kabisa. Bora aneongelea kataa mdoa kuliko anae hubiri mungu sijui mpango umefanya nini