AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Vijana hawatak kuoa na kujaa na wanawake ili wafukuliwe mitaro
Hoja yako ina mantiki maana wengi wanafukuliwaVijana hawatak kuoa na kujaa na wanawake ili wafukuliwe mitaro
Ndivyo hivyo unapenda dada yako afanyiwe?kwan ukiwa demu ukamleta gheto, ukaichapa hiyo mbususu yake vilivyo.Naakaenda zake kwan kuna mtu atakuuliza.si una pata raha na akiziingua na tafuta mwingine,tatizo tuh usitongoze mke wa mtu
Team kataa ndoa hatupingi mapenzi tunapinga ndoa,uoe nn na mademu wapo unampa ujauzito,anakuzalia mtoto akiwa mkubwa unamchukuwa
Yataje maafa matatu nikupe nyuzi 100 za watu mwenye maafa ndani ya ndoaNje ya ndoa mwanamke na mwanaume wanaishi kwenye uharibifu ambao utaleta maafa makubwa
Kama umeshindwa kuelewa hata sishangai mkuu.. kama mungu ako anafanya kuondoa nyege ndo mpango wake mahususi, huwezi kuelewa chochote.Hata sijui kama unajielewa maana hujui uliloliandika,soma tena ulichoandika
Akitaja naomba unitagiYataje maafa matatu nikupe nyuzi 100 za watu mwenye maafa ndani ya ndoa
Unastahili hurumaKama umeshindwa kuelewa hata sishangai mkuu.. kama mungu ako anafanya kuondoa nyege ndo mpango wake mahususi, huwezi kuelewa chochote.
Don't be such a pessimist kwenye kuamua kuingia kwenye ndoa.Siku utakapogundua kuwa nusu ya watoto sio wako na kuna wahuni wanakutombea na ukaendelea kuwa na maoni kama ya leo tutakusikiliza mkuu.
Wewe unastahili therapy, rehabilitation, hata surgery pia.Unastahili huruma
Hakika nyani haoni kunduleWewe unastahili therapy, rehabilitation, hata surgery pia.
Ataye akifanyiwa hivyo hamna tatizNdivyo hivyo unapenda dada yako afanyiwe?
mkuu, LUGHA GANI HIYO?? Me sizungumzi hiyo lughaHakika ntani gaoni kundule
una uhakika kuwa kwenye ndoa watu hawafanyi mapenzi na kila mtu? moja ya hoja za kataa ndoa ni kugongewa inakuwa haina maana ya ndoa.Tumweke Mungu pembeni.
Tu-assume kwamba hayuko kama unavyotaka.
Binadam ni mnyam kama mnyama mwingne.
Ila tuna akili na kustaarabika kuliko wanyama wote.
Na ndio maana tukajistiri na nguo na kuwekeana taratibu flan na flan.
Haipendezi kufanya mapenz na kila binadam mwenzako kama wafanyavyo wanyama wengne, au kuzalisha au kuzaa na kutelekeza mwanao. Na ndio maana ukawekwa utaratibu wa watu waoane ili watengeneze familia zao.
Unaweza ukawa mnyama mkaidi na usioe na ukafanya mapenz Au ukazaa na usitunze. Ni sawa ila haipendezi.
kwahiyo Ndoa ni utaratibu wa kistaarabu wanyama sisi Binadam tunatakiwa kuish nao ili kujitofautisha na wanyama wengne.
Hapa hata Mungu hausiki.
Sema mkuu unamikwara😅Sawa,ole wako siku ya hukumu utalia na kusaga meno
Amechanganyikiwa huyo, Au amesahau kuna malaya kibao wameolewa lakini kuhusu umalaya na udangaji ni aluta continuauna uhakika kuwa kwenye ndoa watu hawafanyi mapenzi na kila mtu? moja ya hoja za kataa ndoa ni kugongewa inakuwa haina maana ya ndoa.
kataa ndoa, ndoa ni UTAPELI
wacha mbususu ilambwe kwan inakuwasha nn jombieHoja yako ina mantiki maana wengi wanafukuliwa
Atakwambia utasaga meno siku ya hukumu😁Mkuu mimi sijasema sipendi au napenda, nimeuliza hizi dini nyingi, ndogo na kubwa zilizopo duniani, Mungu alizileta lini na kwa vipi?
Hakika nyani haoni kundulemkuu, LUGHA GANI HIYO?? Me sizungumzi hiyo lugha
hahah kweli kachanganyikiwa eti mkifunga ndoa mnafanya mapenzi peke yenu tu, ameingia mtaani akaona yaliyopo kweli?Amechanganyikiwa huyo, Au amesahau kuna malaya kibao wameolewa lakini kuhusu umalaya na udangaji ni aluta continua